Mbugi
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 1,488
- 257
Inakuwaje inapofikia baba anamkuta mkewe analia na yeye anaanza kulia? Nani alitazamiwa kumyamazisha mwenzie? Angalia majibu yako yaende na dhamana uliyonayo mbele ya watanzania? Mbona mengine husemei mabovu zaidi kama ya mbuge kukopeshwa billioni 90 kwa ajili ya ununuzi wa gari nje kabisa ya bajeti iliyokuwa imepangwa