kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Taifa zima kila kona limeguswa na ugonjwa wa Lissu. Hata hivyo inatupasa tuwe na matumaini ya kupona kwake. Mara nyingi baada ya masaa 72 ya ajali au operation kupita kwa mgonjwa ambae yuko kwenye Matibabu sahihi na mikono sahihi ya watu sahihi uwezekano wake wa kupona una kuwa mkubwa sana. Msikate tamaa kuweni na matumaini ya hali ya juu kuhusu mgonjwa wenu.