Lissu miongoni mwa best students kitivo cha sheria UDSMNa uhakika 💯, mama amezungukwa na vilaza wanaomshauri, yaani hii move ya kumfunga Lissu Jela ilikuwa wazi kabisa unamuinua kisiasa, na imeonesha jamaa ana hatarisha maslai yao, hivyo akitoka Jela atakachokuwa anaongea basi kitabebwa kwa uzito na umma wa Watanzania. The biggest political mistake
Tundu Lissu ni Ilboru moja! Tena Ilboru ile ya zamani! Hakika huyu jamaa ana akili nyingi san
Lissu ni mwana mabadilio wa kweli yule ndio kiongozi wa kweliHuyu jamaa anawahangaisha sana CCM. Amekula chuma nusu kufa,
Amepigwa kesi ya uhaini,
Anaongea ukweli bila kupepesa macho.
Haogopi kitu chochote na yupo tayari kwa lolote muda wowote,
Kikwete amewahi kusema bora Slaa awe rais kuliko Lissu kukalia kiti cha ubunge.
Huyu jamaa siku akihukumiwa kunyongwa ndio itakua siku ya mageuzi ya Tanzania.
Ni mawazo tu.
Yan hii tanzania ikiwa mikononi mwa lissu tupo sehemu sahihiTundu Lissu ni Ilboru moja! Tena Ilboru ile ya zamani! Hakika huyu jamaa ana akili nyingi sana.
Wako wengi ila tu wewe ndiyo hujui.Huyu jamaa anawahangaisha sana CCM. Amekula chuma nusu kufa,
Amepigwa kesi ya uhaini,
Anaongea ukweli bila kupepesa macho.
Haogopi kitu chochote na yupo tayari kwa lolote muda wowote,
Kikwete amewahi kusema bora Slaa awe rais kuliko Lissu kukalia kiti cha ubunge.
Huyu jamaa siku akihukumiwa kunyongwa ndio itakua siku ya mageuzi ya Tanzania.
Ni mawazo tu.
Wataje siyo unakuja unaongea tuWako wengi ila tu wewe ndiyo hujui.