johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu amesema hana Mpango wa kuanzisha Chama kipya Cha Siasa na wala hafikirii kuhama Chadema kwa sababu ndio Chama Bora kabisa barani Africa
Hata hivyo Lisu amesema pamoja na ubora wake Chadema Siyo Chama Cha Malaika
Soma Pia: Makalla: Lissu ni ndugu yangu yupo mbioni kuja CCM maana CHADEMA wanaendekeza rushwa wakati Lissu hapendi kabisa
Credit: ITV
Mlale Unono 😀🌹