Pre GE2025 Lissu: Sijafikiria kuhama CHADEMA kwa sababu ndio Chama Bora kabisa barani Africa lakini hiyo haina maana Viongozi wake ni Malaika!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
CHADEMA sio malaika. Ila CCM jamani, kha, hata kuwaita mashetani ni kuwapendelea! Roho mbaya na ufisadi hadi shetani anawaonea wivu anatamani angekuwa kama wao!
 
🤣🤣🤣🤣🤣 OKW BOBAN SUNZU tayari huku.
🤣🤣
 
Chama bora Afrika,ubora namba ngapi?

USSR
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…