Lissu: Tofauti yetu na wengine wanakopiga hatua kimaendeleo, iko hapa. Mgombea uenyekiti huyu asikilizwe, ana hoja nzito!

Lissu: Tofauti yetu na wengine wanakopiga hatua kimaendeleo, iko hapa. Mgombea uenyekiti huyu asikilizwe, ana hoja nzito!

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Walisema mnyonge mnyongeni haki yake mpeni:

Wengine mkiona mwaitishwa kung'atuka, tambueni hamna jipya!

"Kwamba mmepwelewa."

Yote ni kiroho safi ndugu zetu.

Habari ndiyo hiyo.
 
Moja yavitu Vinavyo niboa Nchi hii ni Mabango yakipuuzi kila kona
Ambayo haya hamasishi Lolote la Faida Kwa Watanzania
 
Moja yavitu Vinavyo niboa Nchi hii ni Mabango yakipuuzi kila kona
Ambayo haya hamasishi Lolote la Faida Kwa Watanzania

Mwamba atoe wapi nondo za haja kama hizi?

Gg7VFSuXQAA7sEe.jpeg

Tanzania ya maendeleo inawezekana!

Tlaatlaah, Lucas mngebubujikwa machozi ya furaha humu mngeeleweka!
 
Back
Top Bottom