Huyu wasasa chadema nawapinzani wametuletea kichwa yule walikuwa wanafanya kazi mbili kumsafisha nadodoki nakumnadi nadhani unajuwa dodoki haliondoi madowa huyu kwanza anjinadi mwenyewe natunamuelewa sana tu hili naomba liwe jibu kwa wote wanafananisha uchaguzi huu naule waelewe hiloWakati Lowasa anagombea Chadema mlisema maneno kama haya lakini mwisho wa siku mlikimbia thread zenu.
Wazo zuri Sana Lissu alitumie madna CCM kwenyewe ndani hawataki hata kumsikia , ila hawaonyeshi waziwazi , Ila Ni useful Sana kwa Lissu Kama akiwatumia in secret .Amani kwako.
IIfahamike kuwa kwa sasa mgombea wa CCM ndg John anatumia nguvu kubwa kwenye kampeni zake huku akijua alio nao ndani asilimia kubwa hawana urafiki naye.
Kuna wana CCM wengi walishaamua liwalo na liwe na ndiyo ambao leo Katibu Mkuu wa CCM anaita media kuwachimba mkwara, mpaka hapo kuna kitu unaelewa.
Kuna kina mzee, Kinana, Januari, Nape nk wamekaa mkao wa kula, najua kushirikiana nao waziwazi haiwezekani hasirani ila kama ikitumika secret work inawezekana sana.
Kuna mifumo ambayo mpaka sasa inaandaliwa, ni jinsi ya kutunza, kulinda, kufuatilia na kusimama kidete dhidi ya kura zote zitakazopigwa siku hiyo, hapo kuna ile ngome nimeitaja pale juu kwa kushirikiana na IT Expert in/out basi mchezo wa 2015 utakuwa umepata mbereko.
Ndg. Lissu, usidharau hii kitu hao wanaCCM wanaochimbwa mkwara kwako ni turufu kubwa sana, wape nafasi ili kuondoa kile wengi wanasema udhalimu huu.
Povu kwa wanaCCM ruksa, ila ujue nina kadi ya CCM toka 1989.
Januari anasoma hili bandiko japo anaweza kumpigia mzee kinana, na mzee Lowasa lakini kwa sasa simu zao zipo under oversight na ile cabinet zao ila kama ikitokea mchezo ukachezwa basi tunaandika kumbukumbu this year.Wazo zuri Sana Lissu alitumie madna CCM kwenyewe ndani hawataki hata kumsikia , ila hawaonyeshi waziwazi , Ila Ni useful Sana kwa Lissu Kama akiwatumia in secret .
Comrade mawazo yako ni sawa na mwenyekiti wenu, yaani unaonyesha upendi ushindani 't shown in you' unataka kipindi kama hiki cha uchaguzi basi asiwepo mpinzani mwenye nguvu kisa alikuwepo Lowasa 😷!Wakati Lowasa anagombea Chadema mlisema maneno kama haya lakini mwisho wa siku mlikimbia thread zenu.
Haya Naona Mnaingia kwenye Mtego Wa CCM niliwaambia kuwa Hivyi vyama Vya mifukoni havijui kuwa Siasa ni Sayansi Wa hiyo unamshauri lisu Ashirikiane na wanaCCM unaodhani hawako vizuri na Magu ili Tundu Ashinde hahahaha Naipenda CCM kea sababu daima inawachanganya wapinzani Haya Endeleeni kumshauriAmani kwako.
IIfahamike kuwa kwa sasa mgombea wa CCM ndg John anatumia nguvu kubwa kwenye kampeni zake huku akijua alio nao ndani asilimia kubwa hawana urafiki naye.
Kuna wana CCM wengi walishaamua liwalo na liwe na ndiyo ambao leo Katibu Mkuu wa CCM anaita media kuwachimba mkwara, mpaka hapo kuna kitu unaelewa.
Kuna kina mzee, Kinana, Januari, Nape nk wamekaa mkao wa kula, najua kushirikiana nao waziwazi haiwezekani hasirani ila kama ikitumika secret work inawezekana sana.
Kuna mifumo ambayo mpaka sasa inaandaliwa, ni jinsi ya kutunza, kulinda, kufuatilia na kusimama kidete dhidi ya kura zote zitakazopigwa siku hiyo, hapo kuna ile ngome nimeitaja pale juu kwa kushirikiana na IT Expert in/out basi mchezo wa 2015 utakuwa umepata mbereko.
Ndg. Lissu, usidharau hii kitu hao wanaCCM wanaochimbwa mkwara kwako ni turufu kubwa sana, wape nafasi ili kuondoa kile wengi wanasema udhalimu huu.
Povu kwa wanaCCM ruksa, ila ujue nina kadi ya CCM toka 1989.
Haya Naona Mnaingia kwenye Mtego Wa CCM niliwaambia kuwa Hivyi vyama Vya mifukoni havijui kuwa Siasa ni Sayansi Wa hiyo unamshauri lisu Ashirikiane na wanaCCM unaodhani hawako vizuri na Magu ili Tundu Ashinde hahahaha Naipenda CCM kea sababu daima inawachanganya wapinzani Haya Endeleeni kumshauri
CCM haijawahi kuwa na kimtu kama wewe.Amani kwako.