Uchaguzi 2020 Lissu umati usikudanganye, wengi hawajajiandikisha

Lowassa alipigiwa mpaka deki katika barabara aliyokatiza kule Mwanza ulipo fikra siku ya uchaguzi akabaki akishangaa.

Watanzania ni sawa sawa na “wajumbe”, wanaweza kukukarimu mpaka ukajiona unaishi mawinguni.
Mlifanya nn kwenye hiki chumba
 
Lowassa alipigiwa mpaka deki katika barabara aliyokatiza kule Mwanza ulipo fikra siku ya uchaguzi akabaki akishangaa.

Watanzania ni sawa sawa na “wajumbe”, wanaweza kukukarimu mpaka ukajiona unaishi mawinguni.
Lowassa alishinda asilimia 61 Magufuli 39 kitengo wakamuweka safari hii hawamtaki maana aliwauwa sana waliomsaidia kuwatupa. Kisimani pale. Mikocheni kuwaangiza wana ccm wasukuma kitengoni bila kufuata taratibu za idara ya usalama wataifa safari hii karomije na chato wawe tayari kumpokea
 
Kwahiyo wanaokuja kwa Magufuli ndio wamejiandikisha
 
Ndo mnavyodanganyana?
 
CCM Zanzibar bana, unaambiwa vijana wenye Altezza wanatiliwa mafuta wakafanye shangwe mikutanoni, vijana wanatumia mafuta kupigia drift vilivyo 😀 Lengo CCM ionekane inakubalika Zanzibar lakini tunajua mbinu zao na vijana wanafaidi mafuta ya bure siku ya kutoa shukrani kila mmoja kwao au kwa Maalim Seif!

Siku izi Plate number za Magari zinabandikwa sticker za Mtalii wa ndani Hussein 2020. Ukibandika io wewe ata kama gari haina bima na haijapasi na hata kama huna leseni basi askari hawana noma na wewe 😀
 
Unayoyasema ni sinema fulani ya kubuni ambayo ilitungwa baada ya uchaguzi kumalizika mwaka ule wa 2015.
 
Kumbe umati ule wote unaweza poteza muda kumsilikiliza lissu ilihali wamisha poteza imani na mvuto??? amazing???
 
Kama mgombea wenu , mna tatizo kubwa la kujenga hoja. Mnajenga hojabutu
 
Wasomi wa wapi wanaiunga mkono CCM? Hakuna Mtanzania mwenye Akili timamu anaitaka CCM hii mifano yako ya vyama vingine kuilinganisha na chadema ni mifano isiyo na mashiko, kwa taarifa yako Dr slaa hakukaa pembeni kwa ridhaa yake bali alinunuliwa kwa dola milion na nyumba canada akawasariti chadema, CCM ni ile ile Ukoo wa panya hakuna malaika wala msafi wote ni wale wale dili kwa kwenda mbele
 
Mtu ambaye hawezi kufanya mkutano wa hadhara na kushinda kutwa anasumbua wananchi kwenye miji na vijiwe vyao anaambiwa anafanya campaign ya kisayansi.. UVCCM mnajua kupeana moyo
 
Kila mtu anajuwa anayedanganyika ni magufuli ambaye hana wapifa jura wamemkataa kabisa kwa sababu ni mwovu wale watoto wa shule ya msingi na sekondari hawatampigia kura
 
Upuuzi mtupu umati wa lissu hawajajiandikisha ila kwa jiwe wamejiandikisha au sio.
Umati wa CCM husombwa na magari toka vijijini kwenye wilaya zingine na wengi ni wanafunzi
 
Tume wanasema asilimia mia moja ya watu wote wenye sifa za kupiga kura wamejiandikisha.
 
Kwanini hawajajiandikisha?
Bro fanya siasa zenye viwango.
Tuliopembeni tunafikiri unajaribu kuandaa kufanya faulo kwenye matokeo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…