Uchaguzi 2020 Lissu umati usikudanganye, wengi hawajajiandikisha

Wewe ni msemaji wa watz?
Tutapiga kura za kutosha na vichinjio vipo
 
Kwa hiyo Wasanii na Wanafunzi kwenye mikutano ya Magufuli ndo wamejiandikisha?
 
Lowassa alipigiwa mpaka deki katika barabara aliyokatiza kule Mwanza ulipo fikra siku ya uchaguzi akabaki akishangaa.

Watanzania ni sawa sawa na “wajumbe”, wanaweza kukukarimu mpaka ukajiona unaishi mawinguni.
Lowasa alishinda uchaguzi, kamati ya makamba akishirikiana na tume kuchakachua kura
 
kwa hiyo wanaokwenda kumshangaa Mondi na KondeBoy ndiyo wamejiandikisha?
 
Ila watoto wa shule za msingi wanaojaza viwanja kwenye mikutano ya Chama Chako ndio walioiandikisha? Au kwenye chama chenu mmeweka kigezo cha mtu kuwa na kadi ya mpiga kura ndio ahudhurie kampeni?
 
Lowassa alipigiwa mpaka deki katika barabara aliyokatiza kule Mwanza ulipo fikra siku ya uchaguzi akabaki akishangaa.

Watanzania ni sawa sawa na “wajumbe”, wanaweza kukukarimu mpaka ukajiona unaishi mawinguni.
Lisu alikubali kuibiwa akamuachia Mungu
 
Umati wa ccm wamejiandisha Ila wa Lisu awajaajiandikisha hii hoja dhaifu sana
 
Unataka kusema watu waliojiandikisha wote unawajua?
 
Kaa na mumeo mueleze huo ujinga wako
 
Ni sababu zipi zinazokufanya uamini kuwa umati ukiwa mkubwa kwa chama cha kijani ni kuwa hao wote wamejiandikisha, lakini umati huo huo ukiwa upande wa pili hawajajiandikisha ?
 
Lowassa alipigiwa mpaka deki katika barabara aliyokatiza kule Mwanza ulipo fikra siku ya uchaguzi akabaki akishangaa.

Watanzania ni sawa sawa na “wajumbe”, wanaweza kukukarimu mpaka ukajiona unaishi mawinguni.
Ya lowasa Kama huyajui Ni bora ukakaa kimya... Unaonekana jinsi ulivyokuwa mweupe kichwani
 
Kila nikifikiria 'Deep State methodology' naona wazi kabisa sina haja ya kupiga kura! Kama kura hazitalindwa wazi wazi kama ilivyofanywa kwenye kura za maoni vile, Lissu hatatangazwa hata kama atashinda kwa 90%!!
 
Mavi ya Kuku
 
Unajuwaje kama hawajajiandikisha?
 
Unajuwaje kama hawajajiandikisha?
Lisu hatashindwa kwa kutopigiwa kura, bali kwa kunyimwa ushindi na mikakati ya CCM kuitumia NEC, tiss na polisi. Kama umati wa wasiopiga kura, ni kwa mikutano ya CCM ambapo wengi ni watoto wa shule na vijana wanaovutwa na Wana muziki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…