Elections 2015 Lissu yuko wapi?

jingalao

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
36,197
Reaction score
29,717
Nimeona wana Ukawa wanapenda sana kuulizia viongozi mahala walipo eti wakisema ni haki kujua viongozi wako wapi.

Hebu Ukawa tuelezeni Lissu yuko wapi?

#hapakazitu
 
Ameamua kuacha siasa baada ya kumtaja mmiliki wa richmond
 
Nimeona wana Ukawa wanapenda sana kuulizia viongozi mahala walipo eti wakisema ni haki kujua viongozi wako wapi.

Hebu Ukawa tuelezeni lissu yuko wapi?

#hapakazitu

Gamba Umehangaika kujua alipo babu Duni ukafahamishwa,Leo umenza kuhangaika na LISSU tena! In short niko nae unasemaje? Una lingine?
 
Kaenda kumpigia campaign Magufuli. Haya sasa furahi wewe.
 
Nimeona wana Ukawa wanapenda sana kuulizia viongozi mahala walipo eti wakisema ni haki kujua viongozi wako wapi.

Hebu Ukawa tuelezeni lissu yuko wapi?

#hapakazitu

Yupo kwenye kampeini singida, twambie balozi mwapachu yupo chama gani?
 
Gamba Umehangaika kujua alipo babu Duni ukafahamishwa,Leo umenza kuhangaika na LISSU tena! In short niko nae unasemaje? Una lingine?

Jibu tosha kwa jinga lao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…