tanzanitedox
New Member
- Jul 19, 2013
- 1
- 0
Katika "Trending now" ya Yahoo leo kwa mujibu wa Jarida moja la Kinigeria Afrika in Mabilionia 55, Kati yao 20 ni wanigeria. Mabilionia wazee ni wawili Mohammed El fayed (Baba yake Dodi) na Manu Chandaria wa kenya. Billionia kijana zaidi ni Mohammed Dewji wa Tanzania .Na Mwafrika tajiri zadi ni Mr Dangote wa Nigeria.Katika rist hiyo mwanamke tajiri zaidi duniani pia ni mnigeria (Na siyo Oprah)