tanzanitedox
New Member
- Jul 19, 2013
- 1
- 0
Ina maana awa mabilionea wa Arusha hawapo kwenye hiyo list? Hiyo list itakuwa fake.....
Hata mimi nashindwa kuelewa tukiwafahamu hao mabilionea ndio inakuwaje...dah! Wabongo bana..Haya mambo ya kuwafahamu matajiri hayana tija kwa masikini waliowengi. Weka mikakati ya kuwezesha watu kupiga hatua na si kuwajua wenye hela haya ni mawazo mgando. Tubadilike bana aaah
al fayed ni muingereza sio mwafrica.Katika "Trending now" ya Yahoo leo kwa mujibu wa Jarida moja la Kinigeria Afrika in Mabilionia 55, Kati yao 20 ni wanigeria. Mabilionia wazee ni wawili Mohammed El fayed (Baba yake Dodi) na Manu Chandaria wa kenya. Billionia kijana zaidi ni Mohammed Dewji wa Tanzania .Na Mwafrika tajiri zadi ni Mr Dangote wa Nigeria.Katika rist hiyo mwanamke tajiri zaidi duniani pia ni mnigeria (Na siyo Oprah)