Mkwere Sumbawanga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2015
- 744
- 660
Tumejitahidi sana hatujashika nafasi ya mwisho, sisi hapa michezo ni burudani na kujenga udugu
Belgium?!!
Na Chile jee?!!
Kuna namna hapa sio bureee....
hata Wales naye amenishangaza mm kufika hapo alipo
Sasa hapo kidogo Wales kaonesha msisimko huyo Belgium kala kwa Wales na Chile kachukua ubingwa America kule inakuwaje hapo!!!
Sasa hapo kidogo Wales kaonesha msisimko huyo Belgium kala kwa Wales na Chile kachukua ubingwa America kule inakiwaje hapo!!!
na viboko juu!Kwa maneno ya Jerry muro cdhan kama tutatoka kwenye hizo digital 3
Maskin Tanzania tunahitaji mkesha Wa maombi kwa mwez mzima huku tukifunga
nimekujibu mdau mwenzangu wa epl, ila inafedhehesha sanaMaskini "nchi yangu" ya epl na soka la media!
hata mm sijaridhika kuwekwa hapo, walitakiwa kuwa hata nafasi ya 25Sijakubali kabisa England kuwa hapo, hawafiki hata kwenye top 50 hawa, kwa mpira gani wao? Kwa mashindano gani yakuwaweka hapo? hiyo list mpaka mwisho England wako nafasi ya 13 hapo Ndio nashangaa
nchi yetu bado sanaMaskini "nchi yangu" ya epl na soka la media!
Kwa maneno ya Jerry muro cdhan kama tutatoka kwenye hizo digital 3
Maskin Tanzania tunahitaji mkesha Wa maombi kwa mwez mzima huku tukifunga