Makanyaga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2007
- 11,129
- 7,321
Wa kwanza kabisa alikuwa Mjerumani; Wilhelm Röntgen mwaka 1901
Wa pili walikuwa waholanzi wawili; Hendrik Lorentz na Pieter Zeeman mwaka 1902
Mwaka 1921: Albert Einstein
Miaka 20 baadaye tangu kuanza kwa tuzo; kichwa kingine tena kibaya duniani kutoka Ujerumani Albert Einstein kikaibuka na prize hiyo kwenye PHOTOELECTRIC EFFECT; iliyopelekea solar power kuwepo ambayo matumizi yake yanaendelea kupaa kila siku duninani
Possibly kama SOLAR POWER isongegundulika, The International Space Station (ISS ) isingekuwepo
Solar power
The ISS electrical system uses solar cells to directly convert sunlight to electricity. Large numbers of cells are assembled in arrays to produce high power levels. This method of harnessing solar power is called photovoltaics.
Kabla ya kupata prize hii; huyu alikuwa tayari ameshatoa theory mwaka 1905 iliyosema kuwa mwanga ni kitu pekee chenye kasi kuzidi mada zote zilizopo kwenye uumbaji au UNIVERSE, (siyo kwenye solar system, kwenye UNIVERSE)
Mwaka 1922: Niels Bohr -Denmark, University of Copehagen
Huyu alikuwa ni swahiba wa karibu sana wa Albert Einstein
Huyu alirekebisha theory iliyokuwepo kipindi hicho kuhusiana na structure ya atom, iliyokuwa imewekwa na Dalton
Baada ya kufanya marekebisho hayo, aliweka theory ambayo inatumika ikiwa iko sahihi hadi leo; kama kuna marekebisho ya theory hiyo basi bado sijabahatika kuyapata
Maelezo zaidi kuhusiana na vichwa hivi vilivyochangia kuubadilisha ulimwengu huu kwa kasi ya ajabu mno, yanapatikana hapa:
en.wikipedia.org