Mkuu tayari kuna thread inayoelezea hii kitu humu ndani, heading yake ni KUTOKA TCU LEO LEO, imeanzishwa na mtu anayeitwa Noah Gondwe jana usiku. Kabla ya kuanzisha thread mpya tujitahidi kusoma kwanza post zote mpya la sivyo kutakuwa na post nyingi za kitu kile kile.
Lakini tunashukuru kwa kutuwekea hiyo link kwani hapa tutaenda moja kwa moja kwenye list ya majina.