ENANTIOMER
JF-Expert Member
- Sep 22, 2014
- 1,419
- 804
Mazingaombwe ya tcu hayaishi aisee.. Sijui hii ni epsode ya ngapi!
Mara transfer mara sijui nini duuh..
Mazingaombwe ya tcu hayaishi aisee.. Sijui hii ni epsode ya ngapi!
Mara transfer mara sijui nini duuh..
ni shidaa! ila bora wametoa mapema ili watu wajue wataenda wapi!
Hii series ya TCU ni ndefu zaid ya 24 hours....yaan bandika bandua,ikitoke episode hii inaingia hii
Sasa mkuu hivi hao vijana ni wale walioaply directly kwenye vyuo na tcu in both hadi wakapelekea multiple selections au ni makosa ya tcu wenyewe wakawachagua vyuo zaidi ya kimoja? Ufafanuzi please
Dah episode inayofata adui anaua umma wa wanyonge
hawajaeleza chochote kuhusu hilo. ila kwa miaka mingi, wanaochaguliwa zaidi ya mara moja ni wale wanaoomba kupitia jia zaidi ya moja. unakuta mtu kaomba kupita cas alafu huyohuyo anaomba kupitia chuo husika. chamsingi ni kuangalia kama jina lako lipo au la!. kama unatumia cm, ni bora ukaomba msaada kwa wadau!
samahani natumia simu isiyo na pdf so naomba unitajie idadi yao hao multiple selected aplcts
wako 1961 aplcts
dah ni wengi mkuu hivi na wale waliotupwa nje ya first round tcu ikajifanya eti imewaombea kwny vyuo vya afya ili wachaguliwe tena kwny koz zao za mwanzo mchakato umeishia wapi??mbona wengi wao wamefanya 2nd round na majina yao tunayaona kwny vyuo walivyoomba 2nd round???? au ndo hao wamekuwa multiple selected mkuu
kuna watu 7 niliwafanyia second selection na wakachaguliwa. wote hawapo kwenye hii list. wa second selection atakuepo kwenye list, pale ambapo atakua na tatizo kama ya hao walioko kwenye listi
shukrani mkuu dogo alifanya 2nd round japo kimagumashi jina lipo bsc chemistry unvst f bagamoy ila hataki kwenda so kesho ataenda kufanya transfer aende japo pale kiu dar bachelor f pharmacy..alisoma cbg ana dv2.9 gs D,chem B, bio B,geo B,bam C..,tcu walimkata maini kabisa dah
safari njema. mungu amsaidie afanikiwe!
wakati wengine wana div1&2 zao nzuri tu wamekosa first round,kumbe kuna wengine cas imewapa vyuo zaidi ya kimoja kuziba bahati za wenzao..hivi cas huwa ipo automatic? au huwa tunafanya aplctn automatically bt selections done manually???...