K KWETU PAZURI Senior Member Joined Oct 14, 2011 Posts 157 Reaction score 26 Jan 5, 2012 #21 WA-UKENYENGE said: Wanakubalika kwa sababu zipi? Anyway, the point ni hiyo ranking siyo kukubalika kwa graduates. Hiyo ranking ina umuhimu wake katika globalized economy, mtu unaapply scholarship katika vyuo fulani wanakuambia chuo ulichosoma hawakijui. Click to expand... kumbe we mjinga unasoma upate scholarship, how unfortunate,..bwahahahaha.,
WA-UKENYENGE said: Wanakubalika kwa sababu zipi? Anyway, the point ni hiyo ranking siyo kukubalika kwa graduates. Hiyo ranking ina umuhimu wake katika globalized economy, mtu unaapply scholarship katika vyuo fulani wanakuambia chuo ulichosoma hawakijui. Click to expand... kumbe we mjinga unasoma upate scholarship, how unfortunate,..bwahahahaha.,
A assuredly4 JF-Expert Member Joined Nov 7, 2011 Posts 1,216 Reaction score 220 Jan 7, 2012 #22 data zake si za kweli yuko biased ili aridhishe moyo wake atueleze source