LIST OF CANDIDATE SELECTED 2B SPONSORED BY THE MINSTRY OF HEALTH pdf

LIST OF CANDIDATE SELECTED 2B SPONSORED BY THE MINSTRY OF HEALTH pdf

duuuuu kwang haifunguk kabisaaaaaa maana cna application ya pdf, any one who can help me jamaniii nijue mdogo wang kapata anaitwa mandela gabriel
 
Mwenye majina naomba aniangalizie "jefta masanyiwa".TAFADHARI NAOMBA MSAADA HUO
 
ndugu zangu, najua mna hamu sana, ila katika hiyo list wanaoonekana kupata sponsorship ni wale wanaofanya shahada za uzamili za afya katika vyuo mbalimbali ndani na nje ya Tanzania.
 
ndugu zangu, najua mna hamu sana, ila katika hiyo list wanaoonekana kupata sponsorship ni wale wanaofanya shahada za uzamili za afya katika vyuo mbalimbali ndani na nje ya Tanzania.

Ahsante mkuu kwa kufix things maana yake watu hawatulii wanajua tayari.
 
Nyie madogo moh haitoi sponsor kwa tcu candidates.! Hao ni watu wa masters
 
Hongereni wote mliopata Sponsorship...
Faculty za afya ngumu Ila tamu sana na unapata heshima sana katika jamii.yaaa Allah nakuomba unijaalie mimi niwepo katika selection!
 
Back
Top Bottom