Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yale mataka taka ya Kenya. Sijui waliyanunua nchi gani?Hahaha kama zile takataka za Kenya
Na pia MAGLEV train technology ni technolojia ya bei ghali sana kuanzia ujenzi wa mradi hadi uendeshaji wake. Hii husababisha nauli yake kua kubwa mno kwa abiria, ndio maana Germany wenyewe wagunduzi wa hii technolojia hawaja ifanyia commercial implementation. Wachina waliinunua hii tech kwa wajerumani lakini wamejenga sehemu ndogo sana huko ShanghaiMaglev ina tracks zake special hizi zetu haziwezi kusupport