List of companies that manufacture high speed electric trains

Cicero

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2016
Posts
2,924
Reaction score
3,074
1. Hyundai Rotem - Korea


2. Bombardier - Canada


3. Hitachi Trains - Japan/Italy


4. Siemens - Germany


5. Alstom - France


6. Stadler - Switzerland


7. CAF - Spain


8. CRRC - China


9. Kawasaki Heavy Industries - Japan
 
Hiv sisi tumeingia úbià na kampuni gani?? Maana hatuchelewi kuleta Treni toka kampuni ya Bajaj au Toyo
 
Serikali isiyo na uwazi ni serikali Binafsi... Subirini zenu mlishachaguliwa kitambo kutoka Uturuki.

Hizo list sijaona kitu hii!
 
Maglev ina tracks zake special hizi zetu haziwezi kusupport
Na pia MAGLEV train technology ni technolojia ya bei ghali sana kuanzia ujenzi wa mradi hadi uendeshaji wake. Hii husababisha nauli yake kua kubwa mno kwa abiria, ndio maana Germany wenyewe wagunduzi wa hii technolojia hawaja ifanyia commercial implementation. Wachina waliinunua hii tech kwa wajerumani lakini wamejenga sehemu ndogo sana huko Shanghai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…