List of companies that manufacture high speed electric trains

Korea pia ipo
 
Serikali isiyo na uwazi ni serikali Binafsi... Subirini zenu mlishachaguliwa kitambo kutoka Uturuki.

Hizo list sijaona kitu hii!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Siku niliyogundua kuwa train za MAGLEV zinaelea hewani (yaani train haigusi rail na haina magurudumu), na kwa sasa kuna zinazo tembea 600 km/h, nikajisemea tu kuwa binadamu ni NYOKO!
 
Siku niliyogundua kuwa train za MAGLEV zinaelea hewani (yaani train haigusi rail na haina magurudumu), na kwa sasa kuna zinazo tembea 600 km/h, nikajisemea tu kuwa binadamu ni NYOKO!
Teknolojia ya mjerumani hiyo akawauzia china na korea na japan
 
Teknolojia ya mjerumani hiyo akawauzia china na korea na japan
Ni technology mbili tofauti mkuu! Ukiwasoma zaidi utangundua!
Japan walikuja na S+S or N+N magnetic with electric controls! Wakati Germany walibuni S+N or N+S! (hii ni tafsiri yangu isiyo rasmi) unaweza kuwasikiliza You Tube!
 
Principle ni ile ile ya magnetic attraction na repulsion
 
Naona umesoma sana
 
Siemens na Bombardier zimenivutia, Morroco walinunuaga mtumba kwanini walishishindwa kununua mpya? Halafu sijaona alocation ya pesa kwa ajili ya hizi vitu au mpaka budget ya 19/20. I cant wait to ride in one of these Dar-Kagera
 
Miaka 4000 imepita, watu Weusi hapa Africa walikuwa na teknologia ya hali ya juu: Computers, Skyscrapers, electric trains etc. Tulirudi nyuma hivi aje?
 
Bombardier na Siemens zingependeza zaid japo sijajua gharama zake ikiwa brand new
 
Serikali isiyo na uwazi ni serikali Binafsi... Subirini zenu mlishachaguliwa kitambo kutoka Uturuki.

Hizo list sijaona kitu hii!
hii cost take iko chini na ni cheap . haitumii umeme wala gesi Bali ni kitu asili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…