List of countries with hottest girl

Mabaya macho, lakini hakunaga mwanamke mbaya.
 
Hivi burundi kuna watoto?
 
Kenya ameiacha mbali sana Rwanda. Hii list aliyeiandaa inaonekana alikuwa anakunywa urabu
 
Hvi ni viwango vya SOCCER au...... si wa mwisho kila siku jamn,,,aaah hapana bwana.

Naona hata mashindano ya wabaya pia tutashika mkia sjui tulikwama wap....... Tumekata dole la mwisbo tukaacha dole la ........

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…