List of most depressed countries in the world

Teargass

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2018
Posts
20,648
Reaction score
17,772
I thought a certain country is a land of milk and honey, how comes they are the most depressed people in Africa and 3rd in the world.
IMG_20190426_204716.jpeg
 
Baada ya list of country that people live in slum kutoka na ww ukaona ukatafute hiyo [emoji23][emoji23][emoji23]nyie jamaa asee tabu mlionayo sio kidogo
 
Nyinyi ndo mko na taabu ndo maana hamuezikuwa na furaha. A bunch of you come to Kenyan section of JF just to get a smile. Anyway ile mbwa mlikuwa mnang'ang'ania pale barabarani mshaipika?
 
Nyie ndo mko na stress ndo maana unaangaika na mambo ya Tz
 
Hahaaaaa hadi states wapo hahaaaa basi tupo vizuri
56% of kenyans live in slums,bila shaka na wewe ni mmoja wapo maana unaonekana uko na stress mbaya
 
Angalia hiyo list uniambie nani ako na stress kati yako na mimi?
 
Hadi huruma, ila ni kweli Watz huteseka sana japo kimya kimya, kawaida yao waoga waoga huwa hawana ujasiri wa kusema.
 
Back
Top Bottom