YeshuaHaMelech
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 2,596
- 37
Kiingereza chake ni nini?paja juu
Unajua tafsiri ya Maneno ya IT?
Ibandike Hapa!
Copy - Nakili
Paste - Bandika?
Cut - Kata
Edit - Rekebisha
File - Faili
Yaani hata sijafika mbali weledi umeniisha...msaada jamani
Copy - Nakala - Nakili
Paste - Kuweka
Cut - Kata
Edit - Hariri
File - Faili
Kiingereza chake ni nini?
paja juu-laptop