joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Hii ni dalili kwamba, ukandaa huu wa Afrika mashariki, ndio ukanda unaopanda maendeleo kwa kasi ukilinganisha na kanda zingine za Afrika. Hongereni sana kwa wana Afrika Mashariki.
Sitegemei mapovu yasitokuwa na maana kwasababu miji yote ya Afrika mashariki ukiacha Bujumbura na Kampala imeingia katika hili kundi, kwamba yote ni " beautiful". Kampala na Bujumbura wanapaswa kuweka jitihada ili miaka ijayo waweze kuingia katika hili kundi.
cc. Tony254
Janerose
Mwaswast