joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Hahahaha, Hahahaha, Hahahaha. Ninahisi waganda hawakubali Tanzania kushika namba tatu, wanasikia uchungu kuona Dar kushika namba 3.Bravo team eac. The fast growing bloc in the continent.
Waganda kazima wakasirike watasema, watasema mji wao ni best maana upo na slum kubwa kuliko zote duniani. Wanyakore ndio wanaoongoza kwa ukabila ndani ya uganda hahahahaHahahaha, Hahahaha, Hahahaha. Ninahisi waganda hawakubali Tanzania kushika namba tatu, wanasikia uchungu kuona Dar kushika namba 3.
Hahahaha, nimekuelewa kwamba umenielewa, Hahahaha, Hahahaha.Waganda kazima wakasirike watasema, watasema mji wao ni best maana upo na slum kubwa kuliko zote duniani. Wanyakore ndio wanaoongoza kwa ukabila ndani ya uganda hahahaha
HahahahaHahahaha, nimekuelewa kwamba umenielewa, Hahahaha, Hahahaha.
Lazima wapate vidonda vya tumbo mwaka huu, tunawapiga kila pande
Tatizo Kampala pako very disorganized na yale ma-boda boda yao kila sehemu inakua ni uchafu uchafu tu.Hahahaha, Hahahaha, Hahahaha. Ninahisi waganda hawakubali Tanzania kushika namba tatu, wanasikia uchungu kuona Dar kushika namba 3.
Soma post #5 ya Venus star, soma kwa makini sana, kisha soma post yangu #6 kwa makini, unganisha..dots..Tatizo Kampala pako very disorganized na yale ma-boda boda yao kila sehemu inakua ni uchafu uchafu tu.
Maelezo yangu ya kufungulia huu Uzi ukisoma vizuri, niliwapiga pini. Hahahaha.Hivi wale jamaa wa "timu roho ya kwa nini", mbona sijamuona hata mmoja? Ina maana wamesusa au?
Wamemwaga mapovu balaa kule youtube πππ soma comments za hiyo video.Hivi wale jamaa wa "timu roho ya kwa nini", mbona sijamuona hata mmoja? Ina maana wamesusa au?
Cyo kampala na bujumbura tu iliyo chini mingine n kama
Hii ni dalili kwamba, ukandaa huu wa Afrika mashariki, ndio ukanda unaopanda maendeleo kwa kasi ukilinganisha na kanda zingine za Afrika. Hongereni sana kwa wana Afrika Mashariki.
Sitegemei mapovu yasitokuwa na maana kwasababu miji yote ya Afrika mashariki ukiacha Bujumbura na Kampala imeingia katika hili kundi, kwamba yote ni " beautiful". Kampala na Bujumbura wanapaswa kuweka jitihada ili miaka ijayo waweze kuingia katika hili kundi.
cc. Tony254
Janerose
Mwaswast
Waganda hawanaga noma... Shida n wakenya wanaopenda ligi na tzHahahaha, Hahahaha, Hahahaha. Ninahisi waganda hawakubali Tanzania kushika namba tatu, wanasikia uchungu kuona Dar kushika namba 3.
Nimetumia njia ndefu MKUU, ila wewe umetumia "short cut", lengo letu ni moja.Waganda hawanaga noma... Shida n wakenya wanaopenda ligi na tz