List Of Top Ten Richest People In Tanzania

Abbas Tarimba hawezi kuwa tajiri..tajiri huwezi kukaa kinondoni moscow halafu ukawa na demu unayempenda ukamkodia nyumba unamlipia laki 2 kwa mwezi
 
Huyo namber 9 karamagi alikuwa mmoja mawazir na alijiuzuru kula mlungula.
 
Mh jamiiforum kwa kufuatilia naogopa msije kuanika Account yangu ya British Virgin Island Kule Swiss nimetoa wachawi wengi lol ya tanzania Zero balance.
 
Jamiiforum na nyie muda umefika kaonyesha Mapato yenu sio kuwarukia watu na kuongopea jamii siasa zinaongopea masikini na wanaosoma ila hawajui kufanyia kazi elimu Yao.
 
Mi naamini wapo watanzania kibao wenye mkwanja mrefu videadly sema wanamaind kuremain anonymous kwa media kukwepa usumbufu. Hao ni matajiri but not necessarily the richest kwa tzee, watu accounts zina mikato (comma) za kutosha lakini hawamaind zile show-off za kiaina. # bless
 
Na Mabilionea wa Arusha wakiongozwa na Arushaone mbona hatupo kwenye list hii? Nikakate rufaa wapi jameni? Tunaonewa sana!
 
Last edited by a moderator:
Na Mabilionea wa Arusha wakiongozwa na Arushaone mbona hatupo kwenye list hii? Nikakate rufaa wapi jameni? Tumeonewa sana!
 
Last edited by a moderator:
Na mgombea yumo?
 
Wapi Bilionea wa LAKE OIL??
Hii list ni Fake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…