- Wingi na thamani ya majengo si kigezo cha ubora wa chuo - ina maana~UNIVERSITY YENYE JENGO MOJA SIYO UNIVERSITY?
Hivi chuo chenye jengo moja kinawezaje kuitwa chuo?.ninaomba unipe mifano ya vyuo kama hivyo na maelezo jinsi gani shughuri au uduma kama
1.utawara
2.vyakula
3.lecture na seminar
4.mitihani na test
5.compter activities
6.graduations
7.maradhi
n.k zinaweza kundeshwaje? Nijibu kwani ninaweza kuwa na wasiwasi na mtazamo wako.
- Wingi na thamani ya majengo si kigezo cha ubora wa chuo - ina maana~UNIVERSITY YENYE JENGO MOJA SIYO UNIVERSITY?
U
Hivi chuo chenye jengo moja kinawezaje kuitwa chuo?.ninaomba unipe mifano ya vyuo kama hivyo na maelezo jinsi gani shughuri au uduma kama
1.utawara
2.vyakula
3.lecture na seminar
4.mitihani na test
5.compter activities
6.graduations
7.maradhi
n.k zinaweza kundeshwaje? Nijibu kwani ninaweza kuwa na wasiwasi na mtazamo wako.
Think outside the box ndugu. Sasa giving unaweza ku-share lecture na resources nyingine na watu walioko continent nyingine. Majengo ndio nini karne hii? One of the best online university ni Liverpool, unadhani wanahitaji majengo mangapi?
nani katoa hii list?The list of top universities & colleges in Tanzania Ranking
1. University of Dar es salaam.
2. Sokoine university of Agriculture.
3. University of Dodoma.
4. Ardhi university
5. Mzumbe university
6.
7.
8.
9.
10.
11.
12.
13.
14.
15.
16. St. Augustine university of Tanzania!
Source 4icu!
Hii list iko sawa ama imechakachuliwa? Na kama iko sawa naombeni vigezo vya hiyo ranking!
Think outside the box ndugu. Sasa giving unaweza ku-share lecture na resources nyingine na watu walioko continent nyingine. Majengo ndio nini karne hii? One of the best online university ni Liverpool, unadhani wanahitaji majengo mangapi?
kwaiyo hicho chuo unadhani kina jengo moja.dont think imposibilities ndugu
kwaiyo hicho chuo unadhani kina jengo moja.dont think imposibilities ndugu
I don't think, I know! Tatizo lako ni kudhani university lazima iwe na physical infrastructure na lazima kuwe na mabweni.
I don't think, I know! Tatizo lako ni kudhani university lazima iwe na physical infrastructure na lazima kuwe na mabweni.
Hizo online education/ resourses unazosema wewe karibia kila chuo kinatoa hizo uduma lakini bado majengo yapo mengi na baadhi ya vyuo kama UDSM bado majengo hayatoshi na hizo uduma zipo.taratibu tu najua utaelewa.
Tuache ushabiki kwa kuangalia tumesomea/tungesomea/tutasomea wapi
najua mtakubaliana na mimi kwamba UDOM Inapaswa iwe ya kwanza,UDSM Ya 2 n.k. kwa mnaosomea pale na ambao mnapafahamu UDOM hamnashaka mtakubariana na mm kwamba ukilinganisha ukubwa wa chuo kuanza na
1.wingi na thaman ya majengo
2.idadi na ubora wa wanafunzi wanaoingia na kuitimu
3.idadi na ubora
wa waadhiri
4.opportunities za degree course kwa kila college
5 just to mention but a few
hii nisawa nakuunganisha vyuo vyote vilivyo baki ukiondoa au kuiunganisha UDSM.
Hizo online education/ resourses unazosema wewe karibia kila chuo kinatoa hizo uduma lakini bado majengo yapo mengi na baadhi ya vyuo kama UDSM bado majengo hayatoshi na hizo uduma zipo.taratibu tu najua utaelewa.
Hivi siku hizi mbona lugha inatusumbua sana jamani? au ni utandawazi? kiswahili kinazidi kuwa kigumu siku baada ya siku... kwa nini?
Hivi siku hizi mbona lugha inatusumbua sana jamani? au ni utandawazi? kiswahili kinazidi kuwa kigumu siku baada ya siku... kwa nini?
hili ni jukwaa la elimu siyo la lugha.mbona unajisahau kaka ata mada umeisha sahau duuh!.....
hili ni jukwaa la elimu siyo la lugha.mbona unajisahau kaka ata mada umeisha sahau duuh!.....
I knew! Anyway acha kuwa defensive kijana. Jibu hoja maana naona na wewe ni mhusika wa hili swala. I am not attacking personalities rather the practice. So keep tight!
The list of top universities & colleges in Tanzania Ranking
1. University of Dar es salaam.
2. Sokoine university of Agriculture.
3. University of Dodoma. Chuo cha kata!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
4. Ardhi university
5. Mzumbe university
6.
7.
8.
9.
10.
11.
12.
13.
14.
15.
16. St. Augustine university of Tanzania!
Source 4icu!
Hii list iko sawa ama imechakachuliwa? Na kama iko sawa naombeni vigezo vya hiyo ranking!
hili ni jukwaa la elimu siyo la lugha.mbona unajisahau kaka ata mada umeisha sahau duuh!.....
Ilonza ndugu yangu, hata kama sio jukwaa la lugha ila inaonyesha wewe unaandika kama unavyozungumza. Kuna baadhi ya maneno ukiyaandika isivyo yanapoteza maana kabisa. Kwa mfano kuna sehemu umeandika MARADHI badala ya MALAZI. Pia hata mtiririko wako wa hoja haueleweki kabisa! Inanipa shaka kama kweli wewe umepita shule! na kama umepita basi lazima itakuwa shule za KATA!
Hizo online education/ resourses unazosema wewe karibia kila chuo kinatoa hizo uduma lakini bado majengo yapo mengi na baadhi ya vyuo kama UDSM bado majengo hayatoshi na hizo uduma zipo.taratibu tu najua utaelewa.
Umeshasoma/umetembelea university ngapi? I told you to think outside the box. Usikariri kuwa university lazima iwe na mabweni, cafeteria, dispensary, physical lecture theatres and any other such physical infrastructure. No wonder unang'ang'ania "ubora" wa UDOM kwa kigezo cha thamani na wingi wa majengo - that would have made sense if you were valuating for financial purposes e.g. selling the lot.
Ever heard of a "virtual university"?
1 University of Dar es Salaam
Dar es Salaam and other locations
2 Sokoine University of Agriculture
Morogoro and other locations
3 The University of Dodoma
Dodoma
4 Ardhi University
Dar es Salaam
5 Mzumbe University
Morogoro
6 The Hubert Kairuki Memorial University
Dar es Salaam
7 International Medical and Technological University
Dar es Salaam
8 Mount Meru University
Arusha
9 Tumaini University
Dar es Salaam
10 St. John's University of Tanzania
Dodoma
11 Muhimbili University of Health and Allied Sciences
Muhimbili and other locations
12 The State University of Zanzibar
Zanzibar
13 University of Arusha
Arusha
14 Teofilo Kisanji University
Mbeya
15 Muslim University of Morogoro
Morogoro
16 St Augustine University of Tanzania
Mwanza and other locations
wingi wa majengo si kigezo ni sawa na ukubwa wa pua. Vyuo vingi ulaya vina majengo machache sana tofauti na mnavyofikiria, pia hata ofisi nyingi euro utakuta director anashare ofisi! wenzetu wanajali sana bajeti na pia njia hii inawasaidia kufanya ukarabati wa mara kwa mara wenye ubora kwa gharama nafuu zaidi, fikiria ukitaka kuikarabati udsm au udom..how much u need????