List of top universities & colleges in Tanzania 2011

Vipi kuhusu international students wanasoma pale wangapi kwa mwaka? hicho nacho ni moja ya kigezo.

acheni mambo mengiya siasa kwenye elimu, kumbukeni kuna wenzetu walisimamishwa masomo kule UDSM. Ni Mainjinia waliokuwa wanashinikiza mwenzao aliyekamatwa akiibia mtihani akala karatasi mwishowe akashindwa kujitetea lakini wenzie wanashinikiza kumtetea mtu asijua kujijitetea mwenyewe. Pamoja na yote Habari njema kwao ni hii hapa, tafadhali wapeni taarifa wanandugu, jamaa na marafiki.

UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM
OFFICE OF THE DEPUTY VICE-CHANCELLOR
(ADMINISTRATION)
P.O. BOX 35091 - DAR ES SALAAM - TANZANIA

Tel.: 022 2410500 - 8 Ext. 2003 Telegram: University of Dar es Salaam
022 2410394 - Direct Line E-mail: dvc-pfa@admin.udsm.ac.tz
Fax: 022 2410718 Website: UDSM - Home -
Ref: C3/S.13 23rd March, 2011

TO: ALL SUSPENDED STUDENTS COLLEGE OF ENGINEERING AND TECHNOLOGY

RE: NOTICE OF RESUMPTION OF STUDIES
Following the suspension from studies of all undergraduate students from the College of
Engineering and Technology (CoET), the University of Dar es Salaam had on 14th
March 2011 issued a Notice of Offences requiring all the suspended students to write to
the University and provide explanation on their involvement in the disruption of
academic activities.

The University wishes to announce that all the suspended students who have fulfilled
the stipulated conditions mentioned above are required to report to the University ready
for studies that will commence on Monday 28th March, 2011. Take notice however, that
those who have been identified to have cases to answer will be notified of proceedings
against them after reporting.

Prof. Y.D. Mgaya
DEPUTY VICE CHANCELLOR
( ADMINISTRATION)

Sijakubaliana kabisa na rank ambayo UDOM ipo yani hapo wamechakachua sana pamoja na kusema SAUT iko ya 16 na MMU ambayo naifahamu siku nyingo ambayo ni very poor ipo nafasi ya 8? Muujiza huu jamani

Ukiona kila uchwao watu makini wamekaa ngangari na kusema best Uni etc. basi ujue walifeli hao na sio product ya kujivunia .... ...... ... angalia m k w e r e wapi amepata shahada yake , Je unaweza kutueleza alikosoma ndio kwenye chuo bora? Vipi Chenge kule USA je alivyoleta madudu yake bado tuamini ni chuo kizuri alichosoma?

Tuache hizi porojo na kuishinikiza serikali kuona vyuo vyetu vyote vinawapa vijana wetu uwezo wa kumudu maisha yao hapo baadaye na kuweza kutoa elimu bora bila upendeleo. Hao kina Riz1 wamekwenda kusomeshwa ulaya lakini tunaambiwa walifeli sasa kuna umuhimu gani kufundisha mizoga?

Ha ha ha ha.....! Hii ndo TANZANIA! Hiv hata huko kwa wenzetu (Ughaibuni) wana discussion kma hz?????!!!. Kna umhm wa kutawaliwa tena.

Sijakubaliana kabisa na rank ambayo UDOM ipo yani hapo wamechakachua sana pamoja na kusema SAUT iko ya 16 na MMU ambayo naifahamu siku nyingo ambayo ni very poor ipo nafasi ya 8? Muujiza huu jamani

Kunawatu wabishi utadhani ye ndo anajua kila kitu. Sema basi wewe ulitaka Udom iwe ya ngapi?

Vipi kuhusu international students wanasoma pale wangapi kwa mwaka? hicho nacho ni moja ya kigezo.

sijasoma pale..Ila nachojua ni wengi kwan kwa mda mfupi tu ila wagen wamekua wengi,piga picha ikukua kwa miaka 20 ijayo.

tambua udom ipo on progres msipende ushabic.

sielewi mantik ya nyie kubishana eti udom ni bora kuliko udsm,hahaha,udom kwa majengo 4sure wapo juu,wingi wawa nafunz4sure wapo juu,wanafunz wamekua wengi pale just bcoz wengi walipata div 2 mpk 4 kwn uongo?then udsm staff yao inatisha mpk international student wanakubali mzik wao vijana wanapikika,so udom is not best univ in tz bora hata ruco jaman

mkuu napingana na wewe,udom hamna div 4,div 3 zko chache,naomba nikuulize aliyepata div 2 hajafaulu?

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…