List: Wachezaji 10 Bora wa Mpira wa Miguu wa Muda Wote!

Ryzen

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2012
Posts
7,301
Reaction score
8,706
Natumai Mu wazima Ndugu zangu Basi wikiendi Hii Nimeamua kuwaletea Karibu List ya wachezaji kumi Bora wa Mpira wa Miguu wa Muda wote Ni kuanzia wa kwanza Mpaka wa Kumi.
source: Click Hapa


1.Lionel Messi


2.Pele


3.Diego Maradona.




4.Zinedine Zidane



5.Franz BackenBauer



6.Cristiano Ronaldo



7.Alfredo Di Stefano



8.Xavi Hernandez



9. Johan Cruyff



10. Michel Platini
 
Namba 1 hata world cup hajabeba? wewe ni ZERO km anavyoitamka Magu nilitarajia kuona 1.PELLE, 2.MARADONA 3.CR 7 4.RONALDINHO 5.DE LIMA 6.MESSI 7.ZIDANE 8 DE STEFANO 9.FRANK BERCKENBOUG NA10. OLIVER KAHN.
 
Hahahahaa watu wana Mahaba na Wachezaji wao Balaa, Mimi Nimeihamisha Tu hiyo List Hapa sijaiandaa mimi Bhuana!
 
Namba 1 hata world cup hajabeba? wewe ni ZERO km anavyoitamka Magu nilitarajia kuona 1.PELLE, 2.MARADONA 3.CR 7 4.RONALDINHO 5.DE LIMA 6.MESSI 7.ZIDANE 8 DE STEFANO 9.FRANK BERCKENBOUG NA10. OLIVER KAHN.
Kombe la dunia umeenda mbali. Kombe la bara lao tu. Copa Amerika. Haya ni mahaba ya dhati juu ya mchezaji huyo.
 
Kombe la dunia umeenda mbali. Kombe la bara lao tu. Copa Amerika. Haya ni mahaba ya dhati juu ya mchezaji huyo.
Kaka ulitaka wa Kwanza awe Nani?
 
Reactions: PNC
wanavosema mchezaji bora hawaangalii mafanikio ya timu bali wanaangalia mafanikio ya mtu binafsi, ila kwa xavi hapo bado siamini
 
No offense Zidane alikuwa mkali sana, lakini Ronaldinho kutokuwepo kwenye hii list kunaifanya iwe ngumu kujua umetumia vigezo gani?
Zinadine namba 4 wakati Michael Platin umemuweka wa 10 kweli????
Xavi in, Ronaldinho out. Kama sio mahaba basi una lako
 
Kaka ulitaka wa Kwanza awe Nani?
Wa kwanza ni PELE huyu ndio mpaka sasa bado hajazaliwa katika macho yetu. Hakuna mtu kama huyu jamaa kwenye ulimwengu wa soka
Cr7 kombe la dunia amekipata lini?
Nani kasema Cr7 kachukua kombe la dunia.? Nilisema kombe la dunia ameenda mbali. Nilitaka kurelate kwenye kombe la bara lake walau hapo ndio anaweza kuingia top 5.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…