List: Wachezaji 10 Bora wa Mpira wa Miguu wa Muda Wote!

Ronaldo de Lima hayupo? Sijawahi kuona list mbovu kama hii
 
Utata unaotaka kuuanzisha hata wanasayansi walishindwa kuutatua
 
mahaba ya waziiii kabisa , hivi cr7 vs 10 mess ni nani kaleta mafanikio katika club zao ?? na timu zao za mataifa ??? ... Mkuu hivo vigezo ulivo tumia kumuweka mess no 1. your wrong . labda ni mahaba yako tu huyo messi
 
Eti Ronaldinho hayupoo?? jaman , hilo soka la kimataifa sio simba vs yanga hao mpira walizaliwa nao ... [emoji23][emoji23]
 
Unazungumzia wachezaji 10 bola unamuacha dilima wewe weacha mahaba hayo dilima nihatari
 
Romario hii namba ni hataree...Ronaldinho ndio moto...umepanga kwa mtazamo wako.
 
Namba moja Pele hapo toa huyo mesi


Kwa kigezo kipi????

Huyo pele hapaswi hata kuwepo hiyo nafac unayoitaka wewe, badala yake Diego maradona alitakiwa,,,,,fifa Wanamlinda mno huyo babu kutokana na uzee wake na pia kuwanyenyekea mno wazungu na ndicho kinachombeba,,,
 
Haya tuangalie mafanikio kikombe gani kakosa dilima maishani mwake ukifananisha nahao unao wasema

Kama ni hivyo.hata iniesta xavi torres wote hao pia wana makombe,,,,na usisahau 2010 iniesta arichokifanya. Ungeniambia iniesta ningekuelewa,,,,,alakini co uyo.
 
Siwezi kubushana nawewe mchezaji bola wadunia mala mbili waulaya karibu mala nne unasema unamfananisha na tores na iniesta siwezi jua umliwako labda hujamuona ndomana unamjua mesi na cristiano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…