BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
Messi ana vikombe 31 , Cr 7 ana vikombe 23.
Ronaldinho Gaucho ni wa kawaida acha utani mkuu!Huyu ni wa kawaida tu
Nafikir watu wanaangalia mafanikio ya kitimu badala ya ufundi binafsi wa mchezaji hope dinyo lazima awepo xavi atokeFernando Torres, Pique , Ramos. Wamebeba World Cup , UERO vipi walistahili waingie top ten?
Tatizo hamjui ,mnakosoa msichokifaham[emoji36]
Ronaldinho hayupo mkuu...
hao wote hawamkaribii....