List: Wachezaji 10 Bora wa Mpira wa Miguu wa Muda Wote!

Namba 1 hata world cup hajabeba? wewe ni ZERO km anavyoitamka Magu nilitarajia kuona 1.PELLE, 2.MARADONA 3.CR 7 4.RONALDINHO 5.DE LIMA 6.MESSI 7.ZIDANE 8 DE STEFANO 9.FRANK BERCKENBOUG NA10. OLIVER KAHN.
Kama ni makombe seedof angetawala apo
 
Wanasema personal achievements sio team
Kombe la dunia sijuwi mabara ni team sio mtu.
Messi as individual kawa outshine wote hao labda kama una mtindio wa akili utabisha na kumchagua huyo punga wenu.
 
Messi hajawahi kushinda worldcup umuweke 1 Pele, Maradona, Garincha utawaacha wapi?
 
Namba 1 hata world cup hajabeba? wewe ni ZERO km anavyoitamka Magu nilitarajia kuona 1.PELLE, 2.MARADONA 3.CR 7 4.RONALDINHO 5.DE LIMA 6.MESSI 7.ZIDANE 8 DE STEFANO 9.FRANK BERCKENBOUG NA10. OLIVER KAHN.
Mess hawezi kuwa Juu ya Zidane hebu angalieni pindi anavheza mpira mechi za Brazil na France Zizou alivyokuwa akifunika
 
Huyu mtoa mada ni mpuuzi na shabiki kindakindaki wa barca... SASA MESSI WA KUMLINGANISHA HATA NA RONALDO???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…