Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,960
- 67,654
Hii list ni yako binafsi?? Umetumia vigezo gani kama ni list yako?? Avatar yako inaonyesha pia una bifu na CR7.Natumai Mu wazima Ndugu zangu Basi wikiendi Hii Nimeamua kuwaletea Karibu List ya wachezaji kumi Bora wa Mpira wa Miguu wa Muda wote Ni kuanzia wa kwanza Mpaka wa Kumi.
source: Click Hapa
1.Lionel Messi
2.Pele
3.Diego Maradona.
4.Zinedine Zidane
5.Franz BackenBauer
6.Cristiano Ronaldo
7.Alfredo Di Stefano
8.Xavi Hernandez
9. Johan Cruyff
10. Michel Platini
Vipi Fernando Torres? Kabeba EURO , UEFA, World Cup . kwa iyo Torres yupo juu ya CR7Kombe la dunia umeenda mbali. Kombe la bara lao tu. Copa Amerika. Haya ni mahaba ya dhati juu ya mchezaji huyo.
Ni list yake binafsi hivyo usihofu, ktk list yoyote ile hata ukisema top 1, Dinho hawezi kosa!
Ronaldinho hayupo mkuu...
hao wote hawamkaribii....
Hajabeba mchezaji bora fifa na ulaya!Vipi Fernando Torres? Kabeba EURO , UEFA, World Cup . kwa iyo Torres yupo juu ya CR7
Fernando Torres, Pique , Ramos. Wamebeba World Cup , UERO vipi walistahili waingie top ten?Wa kwanza ni PELE huyu ndio mpaka sasa bado hajazaliwa katika macho yetu. Hakuna mtu kama huyu jamaa kwenye ulimwengu wa soka
Nani kasema Cr7 kachukua kombe la dunia.? Nilisema kombe la dunia ameenda mbali. Nilitaka kurelate kwenye kombe la bara lake walau hapo ndio anaweza kuingia top 5.
Natumai Mu wazima Ndugu zangu Basi wikiendi Hii Nimeamua kuwaletea Karibu List ya wachezaji kumi Bora wa Mpira wa Miguu wa Muda wote Ni kuanzia wa kwanza Mpaka wa Kumi.
source: Click Hapa
1.Lionel Messi
2.Pele
3.Diego Maradona.
4.Zinedine Zidane
5.Franz BackenBauer
6.Cristiano Ronaldo
7.Alfredo Di Stefano
8.Xavi Hernandez
9. Johan Cruyff
10. Michel Platini
Pele alibeba?Hajabeba mchezaji bora fifa na ulaya!
Ana ndoo za kutosha za kombe la dunia!Pele alibeba?
nilkuwa nakufwatilia sana hoja zako kwa unavomtetea malinzi nkajua upo vizuri kwa hoja lakini kupitia hii comment nmekutoa kwenye suala la mpira, yaan huyo de lima hata kwenye top 20 hawezi ingiaYaani kwenye hiyo list Ronaldo De Lima a.k.a Phenomena hayupo,hiyo list ni ya mfukoni kama ile ya JK Dodoma.
Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
Mkuu hao wamebeba mara ngapi.? Na PELE kabeba mara ngapi.? Ukipata jibu jifunze kuto kukurupuka. Uzao wa Pele ulishakwisha. Eti Tores, Pique looh. Tujue kutofautisha mimba na kitambiFernando Torres, Pique , Ramos. Wamebeba World Cup , UERO vipi walistahili waingie top ten?
Tatizo hamjui ,mnakosoa msichokifaham[emoji36]
Wewe namba moja wako ni nani.?Fernando Torres, Pique , Ramos. Wamebeba World Cup , UERO vipi walistahili waingie top ten?
Tatizo hamjui ,mnakosoa msichokifaham[emoji36]
Natumai Mu wazima Ndugu zangu Basi wikiendi Hii Nimeamua kuwaletea Karibu List ya wachezaji kumi Bora wa Mpira wa Miguu wa Muda wote Ni kuanzia wa kwanza Mpaka wa Kumi.
source: Click Hapa
1.Lionel Messi
2.Pele
3.Diego Maradona.
4.Zinedine Zidane
5.Franz BackenBauer
6.Cristiano Ronaldo
7.Alfredo Di Stefano
8.Xavi Hernandez
9. Johan Cruyff
10. Michel Platini