List: Wachezaji 10 Bora wa Mpira wa Miguu wa Muda Wote!



Mkuu upo sahihi aise.ingawa namba 2 sio.

1-KING MESSI
2-The Genuine Phenomenon DIEGO ARMANDO MARADONA
3-PELE n.k
 
Kweli kabisa
 


DIEGO ARMANDO MARADONA,,,,huyu ndyo mhuni wa soka bwanaa baada ya KING MESSI,,, huyo babu kipele nimemfuatiria sana youtube hana lolote.

1-KING MESSI

2-KING DIEGO
 


Zinedine zizo namkubali kinoma. Alakini huwez kumpanga na Messi au Donaz,,,,ni sawa sawa na SIMBA UMLINGANISHE NA SWALA
 
et Messi namba moja[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

haya ni Mahaba

Umeona dada eee?? Na bado ataendelea kuwaumiza bureee.at end of the day atawasababishia mupate anxiety disorders bureee. HUYU NDIYO THE LEO 10 HAELEZEKI.
 
Umeona dada eee?? Na bado ataendelea kuwaumiza bureee.at end of the day atawasababishia mupate anxiety disorders bureee. HUYU NDIYO THE LEO 10 HAELEZEKI.
Ijapokua namuelewa King Messiah lkn mkuu umenizid mara 1000 kula like[emoji106]
 
Hata kama hamtaki, CR7 ni habari nyingine
 
Kwenye hii list kuna mchezaji hajawahi kushinda kombe lolote akiwa amevaa jersey tofauti na ya Barcelona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…