List ya beach zenye swimming pools na muziki

Masonic 666

Senior Member
Joined
Dec 15, 2017
Posts
128
Reaction score
213
Naomba mnipatie list za beaches zenye swimming pools na muziki kwa apa dar.
Nitajieni na bei zake ,usalama ,uhakika wa usafiri na mahali zilipo
 
Mziki wanapiga lini na lini na saa ngapi mpaka saa ngapi?
Ijumaa, jumamosi na jumapili.. ama siku za sikukuu pia.

Mziki unaanza mchana hiv na kuisha kwake usiku huwa inategemeana na mzuka wa mule ndani, kama watu wana mizuka utapigwa mpak saa 4 saa 5, kama ndio ile kila mmoja anachomoka watu wanapungua wanafunga saa 3 hv ama 4

Ila swimming huwa zinafungwa mida ya saa 4 kasoro siku ya mkesha wa mwka mpya tuu.
 
Usalama na usafiri vipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…