Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Usalama upo asilimia 100% kuna parking yenye walinziUsalama?
Landmark ipo njema ila ndo hvyo bei juu kidogo! Pia hapo hapo kuna Jangwani sea breeze hapo mziki unakesha mpaka majogoovipi kuhusu hiyo landmark?
Jangwani see breaze kuna swimming pools?Landmark ipo njema ila ndo hvyo bei juu kidogo! Pia hapo hapo kuna Jangwani sea breeze hapo mziki unakesha mpaka majogoo
Swimming ipoo, kiingilio buku 10 pia kuna malaya wa kutosha kama una hela nzuri unatoka mwepesiiiiJangwani see breaze kuna swimming pools?
Vipi kiingilio?
Ipo wapi?Swimming ipoo, kiingilio buku 10 pia kuna malaya wa kutosha kama una hela nzuri unatoka mwepesiiii
Hiyo buku 10 ni pamoja na kuogelea na muziki?Swimming ipoo, kiingilio buku 10 pia kuna malaya wa kutosha kama una hela nzuri unatoka mwepesiiii
Bia na soda sh ngapi?Ndio yani ukilipa kiingilio unafanya kila kitu humo ndani na Gari yako inalindwa bure parking! Labda vinywaji tu ndo utanunua
sku za kawaida km jumapili kiinglio ni buku 8 seabreze jangwaniHiyo buku 10 ni pamoja na kuogelea na muziki?
Mbezi beach, yani jangwani,landmark na beach comber zimepakana zoote zinafatanaBia na soda sh ngapi?
Ipo wapi hiyo jangwani
Ipo wapi?Yanga beach ya kisasa
We nae unasumbua ebu njoo hapa seabreeze ntakuhudumia kila kitu ili na ww nxt tyme ujue bei uje kwa gharama zako au vyuma vimekaza bado?Bia na soda sh ngapi?
Ipo wapi hiyo jangwani
Usafiri ni eazy tu bajaji palepale getini zipo wakati wa kutoka, usalama ni kiwango cha kati.Usalama na usafiri vipi?