List ya chaguo la pili( second selection) wanafunzi waliochaguliwa kwenda kitato cha tano-2013

mwanaupepo

Member
Joined
Apr 5, 2013
Posts
98
Reaction score
22
Hii ndio serikali ya Tz


Kumbuka hawa ndio walee walio fanyiwa updates kwenye matokeo yao...

Hawa waliochaguliwa kwa mara ya pili, pia wenye divison 4 wamo tena ndio weng.. kigezo nikua na credit tatu!

kama sifa za shule za private vile, ambazo zinatafuta wateja kwenye biashara yao!!

Inayoonekana madarasa yamekua meng wanafunz waliopo wachache.... kwaio watakua wameomba nyongeza

kama vle tunavyouza nakununua nyanya sokoni.,,

Ila wenzao wameanza kusoma zamani!!!!.... wenyewe hawaliangalii hilo, ilimradi kue naidadi kubwa ya wanafunz ili

wakatambishiane na wanasiasa majukwaani na bungen.

Nahic na 2nd selection ya kwenda vyuoni, itakuja mwezi wa kwanza mwakani! mliokosa msiogope serikali nye2 itawakumbuka2

List ipo kwenye attachment hapo chini..... mnaotumia simu poleni!
 
Hii serikali kichefuchefu!Yaani wamelazimisha mpaka mtihani na selection form 4 imekua kama darasa la 7 MAMBO KUFANYIKA kisiasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…