[emoji599]_| Klabu za Afrika ambazo zimepeleka wachezaji wengi AFCON 2023/ 2024
1. Mamelodi [emoji1221] - 11
2. Al Ahly [emoji1093] - 10
3. Pyramids [emoji1093] - 9
4. Yanga SC [emoji1241] - 8
5. Simba SC [emoji1241] - 6
6. Orlando Pirates [emoji1221] - 6
7. TP Mazembe [emoji1078] - 4
8. Nouadhibou [emoji1163] - 4
9. Zamalek [emoji1093] - 3
#Dibahvansports
Je: bado tuendelee kuidharau Ligue yetu ....Kwa Simba na Yanga ....jumla tumetoa players 14
Yanga imepeleka 8 akina nani?[emoji599]_| Klabu za Afrika ambazo zimepeleka wachezaji wengi AFCON 2023/ 2024
1. Mamelodi [emoji1221] - 11
2. Al Ahly [emoji1093] - 10
3. Pyramids [emoji1093] - 9
4. Yanga SC [emoji1241] - 8
5. Simba SC [emoji1241] - 6
6. Orlando Pirates [emoji1221] - 6
7. TP Mazembe [emoji1078] - 4
8. Nouadhibou [emoji1163] - 4
9. Zamalek [emoji1093] - 3
#Dibahvansports
Je: bado tuendelee kuidharau Ligue yetu ....Kwa Simba na Yanga ....jumla tumetoa players 14
Tutajie majina yao hao sitaPale stars Yanga anwachezaji sita....+ Aziz ki na pacome sema pacome ameghairi kwenda Baada ya kuhitajika na gamond
TZ nzima ni aliyeitwa DRC ni Inonga pekeePale stars Yanga anwachezaji sita....+ Aziz ki na pacome sema pacome ameghairi kwenda Baada ya kuhitajika na gamond
Ila we ndo muongo umemuhesabu Diara na aziz ki ?Yanga haina wachezaji nane wala simba sita.
Yanga anao 4 na Simba pia 4.
Wewe na mambo ya mpira wapi na wapi? Shabikia CCM tuYanga haina wachezaji nane wala simba sita.
Yanga anao 4 na Simba pia 4.
Zambia wapo vizuri mzeeHonestly kupeleka wachezaji wengi sio shida shida ni wanacheza timu gani huko taifani mwao?
Mfano mtu anaenda kucheza zambia sasa zambia kweli?
Labda ghana , nigeria , mali , ivory coast aitwe mtu ndo tunachukulia uzito kiwango cha ligi kitaonekana kimepanda
Zambia wana Afcon, vp mwenzangu na mimi?Honestly kupeleka wachezaji wengi sio shida shida ni wanacheza timu gani huko taifani mwao?
Mfano mtu anaenda kucheza zambia sasa zambia kweli?
Labda ghana , nigeria , mali , ivory coast aitwe mtu ndo tunachukulia uzito kiwango cha ligi kitaonekana kimepanda