List ya mafisadi UDOM

Status
Not open for further replies.
hao ni wa kunyongwa 2 hakuna haja hata ya kufanya uchunguz.
Nachangia nikiwa kama mmoja wa viongozi wa udoso,hawa wameshiriki ubadhirifu wa zaidi ya milioni ishirini(20 mil.),vinara wakuu ni rais na waziri mkuu wake
 
Poleni wanafunzi heri yetu tuliyosoma enzi za mwalimu, mwe poleni sana!
 
nashangaa mnaobisha ukweli. viongozi wote wa vyuo wanachofanya ni kwenda kuiba tu. hapo wala halihitaji evidence, unless wewe hujawahi kusoma chuo na hasa chuo kikuu chochote hapa nchini. mimi swali langu la msingi, ni kwamba kwa vile bwana yesu alikufa kwa ajili ya dhambi zetu kwa hiyo sasa hivi tupo tayari kufanya dhambo yoyote ile? nasema hili kwa sababu ndo kinachofanyika. This is shame. Nyie watu wa jamii fulani come up na acheni ujangili karibia kila nyanja na kona ya nchi hii.
 
Tangu jana mtoa mada katokomea sijui ameenda kukusanya data zaidi.
 
yaani mtoa mada ameshindwa kubsubtantiate madai yake, bila shaka huyu ni first year na tena anachuki na viongozi wa serikali ya wanafunzi
kama uwezo wake wa kuelewa ni mdogo kiasi hiki nina wasiwasi na IQ yake
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…