List ya majina yaliyopitishwa mwaka huu kutumika badala ya yale ya kiarab na kizungu

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
7,926
Reaction score
17,030
1. Gudume
2. Nyani ngabu
3. Sodoku
4. Kokoteo
5. Nyapu (kwa watoto wa kike)
6. Ugoko
7. Kinyaa
8. Wakusoma
9. Tutani
10. Mgema

Endelea nawe ongezea majina uliyoyaona humu JAMII FORUM Rais ayatangaze yatumike badala ya yale ya kizungu na kiarabu. Na sheria hii itapitishwa bunge hili. Kwa kila mtanzania awe na asili ya india,china,ulaya au afrika atalazimika kutumia majina haya.
 
Hahahaha Ww usidanganye watu,wakumbuka shuka kumekuchwa[emoji38] Hiyo ni Impossible!!to change a language is not as easy as you think[emoji23]
 
Wa kusoma mbona tayari nilishalisajiri tayari?
 
jingalao
 
Dah yaani mtu aitwe " nyapu "( kwa watoto wa kike ) waombe msamaha dada zetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…