List ya Makampuni na NGOs zote zilizopo Tanzania

C.T.U

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2011
Posts
5,074
Reaction score
3,743
Wakongwe habari zenu

Nani anaweza nisaidia kupata database ya Makampuni pamoja na NGO s zote zilizopo Tanzania pamoja na contact zake Kama kuna link ambayo tunaweza kuingia na kukuta list ya Makampuni hayo nitashukuru sana

Natanguliza shukrani...
 
Nenda kwenye business directory utayakuta
 
Wakongwe habari zenu

Nani anaweza nisaidia kupata database ya Makampuni pamoja na NGO s zote zilizopo Tanzania pamoja na contact zake Kama kuna link ambayo tunaweza kuingia na kukuta list ya Makampuni hayo nitashukuru sana

Natanguliza shukrani...
Unasoma chuo gani?
 
Directory/Database ya NGO zote Nchini, inapatikana.

Imeshereni taarifa zifuatazo:-
1. Jina la taasisi
2. Jina la muhusika
3. Anuani ya posta.
4. Namba ya simu.
5. Namba ya nukushi.
6. Barua pepe
7. Tovuti
7. Mji
8.Wilaya
9. Mkoa
8. Posta kodi

Database/directory hii ni kwa ajili ya :-

1. Wafanya biashara wanaotafuta masoko ya bidhaa/Huduma zao.
2.wataalamu na watafiti wa masoko
3.walio hitimu au waona tafuta ajira.
4. Yeyote.

Sababu 3 za Kuwa nayo:
1.Inaokoa muda: huna haja ya kutafiti kwenye internet, taarifa zote unazohitaji zipo pamoja.
2. Inaokoa pesa:
3. Gundua Wateja wapya na kukuza biashara yako.

IPO katika format ya PDF/XCL /CVS
Inapatikana;-

Wigo media
0767 102102 (whatsapp)
0655 308308
wigotz@gmail.com
www.wigomedia.blogspot.com
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…