Hii mikoa IPO Tanzania??Singida
Kigoma
Rukwa
Songea
Mtwara
Mara
Shinyanga
Katavi
Pemba
Nb:except wazawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Astaghafirulah x 3...kama vile pemba umeionea, au kisa wanapenda kijambio
kama vile pemba umeionea, au kisa wanapenda kijambio
Halafu ndio fursa zilipo..uwe na jicho la kuona fursa kwenye kila changamoto..na sio uangalie changamoto tu kwenye fursa..
Ndio maana..
Hakuna mkoa unaoitwa Songea wala Pemba. Rudi shule kilaza weweSingida
Kigoma
Rukwa
Songea
Mtwara
Mara
Shinyanga
Katavi
Pemba
Nb:except wazawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Twinawe? nenda pekee yako! sie Mara tunatamani tuishi milele, kama huko kwenu maisha yamegoma kivyenu!!! tena ukome kutulisha maneno ya hovyo mburura wewe swine!!!!!Singida
Kigoma
Rukwa
Songea
Mtwara
Mara
Shinyanga
Katavi
Pemba
Nb:except wazawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Amezowea kubanana tu huyo!Halafu ndio fursa zilipo..uwe na jicho la kuona fursa kwenye kila changamoto..na sio uangalie changamoto tu kwenye fursa..
kiongozi wao Da'VinciKwa Kigoma Umepatia wao ndoto zao ni kupanda tren washindane ubishi....
Sent using Jamii Forums mobile app