sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Taasisi ya Haki Miliki Tanzania COSOTA imetoa orodha ya Wasanii 21 wa Tanzania ambao wameongoza kwa kupata pesa nyingi za mirabaha kutokana na nyimbo zao kuchezwa kwenye sehemu mbalimbali ikiwemo kwenye Radio na TV.
21. Ray C
20. Lady Jaydee
19. Abby Chamz
18. Luludiva
17. Mwasiti
16. Linah Sanga
15. Anjella
14. Maua Sama
13. Saraphina
12. Nandy
11. Mabantu
10. Jay Melody
9. Juma Jux
8. Darassa
7. Profesa J
6. Mwana FA
5. Diamond Platnumz
4. Harmonize
3. Ibraah
2. Ay
1. Alikiba.
Yaan hii ni sawa na kusema jarida la forbes limetaja wafanya biashara wakubwa katika mtaa wa uswahilini yombo relini anaeongoza ni mama chiku muuza vitumbua anauza saaana kwa siku vitumbua 500 , anaefata mama monso muuza kachori kwa siku anauza kachori 400, namba tatu mama mwajuma muuza miguu ya kuku kwa siku anauza miguu 300, namba nne ni mama asha muuza barafu kwa siku anauza barafu 200, tano ni bakhressa ice cream zake wananunua watu 100 mtaa ule lakini kumbuka ana bidhaa nyingi zaidi na zinauzwa nchi nzima.
Yaani zuchu hayupo, Mario hayupo, Rayvanny hayupo ???? hii list ni vipi aisee