List ya Movies ambazo smart people wataziona zipo More interesting

List ya Movies ambazo smart people wataziona zipo More interesting

Jorge WIP

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2018
Posts
3,567
Reaction score
5,323
Hii ni list ya movies ambazo watu wenye uelewa fulani ndio wanavutiwa nazo zaidi

1. SHERLOCK HOLMES
2. INFERNO
3. INCEPTION
4. TENET
5. THE EXAM
6. THE BIG SHORT
7. INTERSTELLAR
8. THE ACCOUNTANT
9. NOW YOU SEE ME
10. INSURGENT
11. SHUTTER ISLAND
12. LUCY
13. CATCH ME IF YOU CAN
14. A BEAUTIFUL MIND
15. EDGE OF TOMORROW
16. A MAN WHO KNEW INFINITY
17. TRANSCENDENCE
18. THE MATRIX
19. A PERFECT ENEMY
20. ESCAPE PLAN HADES
21. DIVERGENT
22. THE BOY WHO HARNESSED THE WIND
23. GONE GIRL
24. THE DA VINCI CODE
25. MINORITY REPORT
26. THE JUDGE
27. WHAT HAPPENED TO MONDAY
28...

and the list goes on and on...
Ongeza hizo nyingine
 
Hii ni list ya movies ambazo watu wenye uelewa fulani ndio wanavutiwa nazo zaidi

1. SHERLOCK HOLMES
2. INFERNO
3. INCEPTION
4. TENET
5. THE EXAM
6. THE BIG SHORT
7. INTERSTELLAR
8. THE ACCOUNT
9. NOW YOU SEE ME
10. INSURGENT
11. SHUTTER ISLAND
12. LUCY
13. CATCH ME IF YOU CAN
14. A BEAUTIFUL MIND
15. EDGE OF TOMORROW
16. A MAN WHO KNEW INFINITY
17. TRANSCENDENCE
18. THE MATRIX SEQUEL
19. A PERFECT ENEMY
20. ESCAPE PLAN HADES
21. DIVERGENT SEQUEL
22. THE BOY WHO HARNESSED THE WIND
23. GONE GIRL
24. THE DA VINCI CODE
25. MINORITY REPORT
26. THE JUDGE
27. WHAT HAPPENED TO MONDAY
28...

and the list goes on and on...
Ongeza hizo nyingine
Namba 1 na namba 9
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Hii ni list ya movies ambazo watu wenye uelewa fulani ndio wanavutiwa nazo zaidi

1. SHERLOCK HOLMES
I prefer Series ya Benedict Cumberbatch zaidi ya film
2. INFERNO
3. INCEPTION
4. TENET
5. THE EXAM
6. THE BIG SHORT
7. INTERSTELLAR
8. THE ACCOUNTANT
9. NOW YOU SEE ME
10. INSURGENT
11. SHUTTER ISLAND
12. LUCY
13. CATCH ME IF YOU CAN
14. A BEAUTIFUL MIND
15. EDGE OF TOMORROW
16. A MAN WHO KNEW INFINITY
17. TRANSCENDENCE
18. THE MATRIX
19. A PERFECT ENEMY
20. ESCAPE PLAN HADES
21. DIVERGENT
Zote hapo nazikubali
22. THE BOY WHO HARNESSED THE WIND
Hii naona ipo overated sana stori yake ni ya kawaida sana
23. GONE GIRL
24. THE DA VINCI CODE
25. MINORITY REPORT
26. THE JUDGE
27. WHAT HAPPENED TO MONDAY
28...

and the list goes on and on...
Ongeza hizo nyingine
Nakubali.
Naongezea
Dark Knight
Pulp fiction
Doctor strange
Fight club
12 Angry men
Vantage point
Dunkirk
The Prestige
Looper
.....to be continued
 
24 niliiangalia zaidi ya mara Tano, ..... Sina kawaida ya kuangalia movie mpaka mwisho na sirudii kuangalia mara mbili movie moja.
 
Ukiona list ya mtu yoyote yule imeshirikisha vitu ambavyo ametengeneza Christopher Nolan basi naturally huyo mtu ni smart.
hapo nimeona movie tatu za yule genius.

Kuna The Prestige kama kawaida yake Nolan lazima utulize kichwa ndio uangalie movie yake.

Then kuna:

The Martian
Arrival
Gravity
Life
Ad Astra
Prometheus japo sequel yake Alien Covenant wameharibu story nzima na yale maswali muhimu ya movie ya kwanza wameyapotezea.

Hapo juu ukiondoa The prestige hizo movie zilizobakii zimeegema maswala ya space zaidi na zinahitaji utulivu wa akili ili uelewe movie nzima, trust me ukitoka hapo hutojutia kuwa umepoteza muda wako.

movie za aina hii ni zaidi ya uraibu naongezea na The social network bila kusahau Blade runner 2049.
 
I prefer Series ya Benedict Cumberbatch zaidi ya film

Zote hapo nazikubali

Hii naona ipo overated sana stori yake ni ya kawaida sana

Nakubali.
Naongezea
Dark Knight
Pulp fiction
Doctor strange
Fight club
12 Angry men
Vantage point
Dunkirk
The Prestige
Looper
.....to be continued
Series yake iko poa sana
 
Ukiona list ya mtu yoyote yule imeshirikisha vitu ambavyo ametengeneza Christopher Nolan basi naturally huyo mtu ni smart.
hapo nimeona movie tatu za yule genius.

Kuna The Prestige kama kawaida yake Nolan lazima utulize kichwa ndio uangalie movie yake.

Then kuna:

The Martian
Arrival
Gravity
Life
Ad Astra
Prometheus japo sequel yake Alien Covenant wameharibu story nzima na yale maswali muhimu ya movie ya kwanza wameyapotezea.

Hapo juu ukiondoa The prestige hizo movie zilizobakii zimeegema maswala ya space zaidi na zinahitaji utulivu wa akili ili uelewe movie nzima, trust me ukitoka hapo hutojutia kuwa umepoteza muda wako.

movie za aina hii ni zaidi ya uraibu naongezea na The social network.

Kweli Mkuu uko vizuri Nolan atengwe aisee na hiyo Arrival nakumbuka nlivyoiona mara ya kwanza dah na sikutegemea kama Jeremy Renner ataweza perform vizuri kwa movie kama ile nlimzoea kwenye actions.

Nyingine ni Escape Room na mwaka huu kuna mpya muendelezo wake
 
Hii ni list ya movies ambazo watu wenye uelewa fulani ndio wanavutiwa nazo zaidi

1. SHERLOCK HOLMES
2. INFERNO
3. INCEPTION
4. TENET
5. THE EXAM
6. THE BIG SHORT
7. INTERSTELLAR
8. THE ACCOUNTANT
9. NOW YOU SEE ME
10. INSURGENT
11. SHUTTER ISLAND
12. LUCY
13. CATCH ME IF YOU CAN
14. A BEAUTIFUL MIND
15. EDGE OF TOMORROW
16. A MAN WHO KNEW INFINITY
17. TRANSCENDENCE
18. THE MATRIX
19. A PERFECT ENEMY
20. ESCAPE PLAN HADES
21. DIVERGENT
22. THE BOY WHO HARNESSED THE WIND
23. GONE GIRL
24. THE DA VINCI CODE
25. MINORITY REPORT
26. THE JUDGE
27. WHAT HAPPENED TO MONDAY
28...

and the list goes on and on...
Ongeza hizo nyingine
#5 & 9 [emoji1666][emoji440]
 
Back
Top Bottom