List ya nchi tajiri Africa

engmtolera

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
5,149
Reaction score
1,441
1.
Equatorial Guinea $30,200 2.
Botswana $15,800 3.
Gabon $14,900 4.
Libya $14,900 5.
Mauritius $12,400 6.
South Africa $10,400 7.
Angola $9,100 8.
Tunisia $8,000 9.
Algeria $7,100 10.
Egypt $5,500 11.
Namibia $5,500 12.
Swaziland $5,100 13.
Cape Verde $4,200 14.
Morocco $4,000 15.
Congo, Republic of the $3,800 16.
Djibouti $3,800 17.
Cameroon $2,400 18.
Nigeria $2,200 19.
Sudan $2,200 20.
Mauritania $1,900 21.
Kenya $1,800 22.
Senegal $1,800 23.
Cote d'Ivoire $1,700 24.
Chad $1,600 25.
Lesotho $1,600 26.
Benin $1,500 27.
Ghana $1,500 28.
Zambia $1,500 29.
Sao Tome and Principe $1,400 30.
Tanzania $1,400 31.
Burkina Faso $1,300 32.
Gambia, The $1,200 33.
Mali $1,200 34.
Comoros $1,100 35.
Guinea $1,100 36.
Madagascar $1,100 37.
Uganda $1,100 38.
Mozambique $900 39.
Rwanda $900 40.
Togo $900 41.
Ethiopia $800 42.
Malawi $800 43.
Central African Republic $700 44.
Eritrea $700 45.
Niger $700 46.
Sierra Leone $700 47.
Guinea-Bissau $600 48.
Somalia $600 49.
Liberia $500 50.
Burundi $400 51.
Congo, Democratic Republic of the $300 52.
Zimbabwe $200 ▼
 
sasa tanzania tumewazidi rwanda,mozambique kwa kipi?najua kwa rasilimali tanzania tungekua wa 2 au 3 baada ya drc!
 
1. Equatorial Guinea $30,200
2. Botswana $15,800

3. Gabon $14,900
4. Libya $14,900
5. Mauritius $12,400
6. South Africa $10,400
7.
Angola $9,100
8.
Tunisia $8,000
9.
Algeria $7,100
10. Egypt $5,500
11. Namibia $5,500
12.
Swaziland $5,100
13. Cape Verde $4,200 14.
Morocco $4,000 15.
Congo, Republic of the $3,800 16.
Djibouti $3,800 17.
Cameroon $2,400 18.
Nigeria $2,200 19.
Sudan $2,200 20. Mauritania $1,900 21. Kenya $1,800 22. Senegal $1,800 23. Cote d'Ivoire $1,700 24. Chad $1,600 25. Lesotho $1,600 26. Benin $1,500 27. Ghana $1,500 28. Zambia $1,500
29. Sao Tome and Principe $1,400 30. Tanzania $1,400 31. Burkina Faso $1,300 32. Gambia, The $1,200

33. Mali $1,200 34. Comoros $1,100 35. Guinea $1,100 36. Madagascar $1,100 37. Uganda $1,100
38. Mozambique $900 39. Rwanda $900 40. Togo $900 41. Ethiopia $800 42. Malawi $800
43. Central African Republic $700 44. Eritrea $700 45. Niger $700 46. Sierra Leone $700 47. Guinea-Bissau $600
48. Somalia $600 49. Liberia $500 50. Burundi $400 51. Congo, Democratic Republic of the $300
52. Zimbabwe $200 ▼
 
No wonder i was so poor in geography,bendera ya sao tome kama ya tanzania:A S-baby::A S-baby::A S-baby:
 
Tanzania ya pili kutoka chini, tangu udogoni nilikuwa nikiambiwa hivyo
 
Mkuu sivyo ila mweka mada ndiye kaweka majina ya nchi na bendera zake vibaya.. nadhani bendera zipo juu ya jina la nchi lipo chini.. Hivyo kila Bendera unayoiona sambamba na nchi jua nchi halisi ipo chini yake. Ukifuata zilivyowekwa basi utagundua kwamba kila bendera sio ya nchi hiyo..
 
Tulipaswa kuwa kwenye 10 bora, na siyo huko tuliko sasa. Hii imetokana na mawazo finyu na mtazamo pogo wa watawala walioko madarakani kushindwa kutumia vyema utajili na raslimali tulizo nazo watanzania. Maana wao wameifanya serikali kuwa NGO kuiba na kutumia vibaya mali za umma. Dawa yake ni Peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeees Power
 
Bora umefanya marekebisho...
lakini kidogo tu ni vizuri sana kufafanua hili maanake hili swala la kusema nchi tajiri Afrika ni hizi lina maana nzito zaidi ya kuorodhesha kama ulivyofanya kwa maana nchi kama Equatorial Guinea inaonekana matajiri kwa sababu ya mgawanyo wa pato kuilingana na idadi ya wananchi wake..Hivyo pato lake linaweza kuwa dogo sana ukilinganisha na Tanzania lakini kwa sababu wana population ndogo ndio maana wako juu ya nchi zote.

Na kibaya zaidi ya ufafanuzi kama huu. ni kwamba pato lote la nchi kama Equatorial linaweza kutoweza hata kujenga maendeleo madogo tulokuwa nayo sisi hata uwape miaka 50 lakini kwa sababu kinachohesabiwa ni pato kulingana na population utawaona wako juu ya nchi zote..
Hivyo tunarudi nyuma na kujiuliza Utajiri ni nini?
 
ungekuwa more specific na kuweka ni nini un aongelea
it seems unaongelea income per capital
south africa is the largest economy in africa (wako more industrillized than the rest of the continet
ukiongelea income per capital kama ndio kigezo cha nchi tajiri then hata china na india zitakuwa mbali sana because of their population

tupe basi full story ya hizo data ili tusome
thanks
 
Mi cjaona haja ya Tanzania kuwepo nafasi ya 30 iliyopo. Yani huu uongozi ulipo sasa mi kwa ushauri wangu ningependezewa niwaone wamefilisiwa wote na hata wengine ICC iwahusu kbs! Naalabuk!
 
Sasa mkubwa nazan kwa kufanya uchambuzi mzuri ni kwamba ungesema iyo ni analysis in terms of what mana tunaona namba hata hazi add up! Sema kma ni per capita,purchasing power,gdp etc! Na pia weka source ya hao walio analyse mana najua si wewe,hasa hasa wanaofanya hv analysis na zikatumika kma reference point ni imf na wb
 
utajiri in layman terms ni STANDARD OF LIVING,kila mwananchi wa Equatorial guinea ana kamata at least 30,000 $ per annum,akikosakosa kutokana na unequal distribution of wealth at least atapata 12000,the equivalent of 1000$ a month-huyu basket of goods and services anayopata ni kubwa UKILINGANISHA na mtanzania anayepata a meagre 1400$ mwaka mzima na obviously mafisadi wanahakikisha hapati hata robo ya hiyo-huyu ni masikini cause hiyo hela hata basics haitoshi
 

ukitaka kuona vyema bonyeza huo mshale ulioelekea chini mwishoni mwa zimbabwe
 

Ahsante kwa udadavuzi mkuu,
Nadhani sina swali zaidi.
Ila nahisi hiyo list inawa-encourage zaidi viongozi wetu, ndio maana JK amesema wanahaki ya kujisifu kwa mafanikio.​
 

kilicho angaliwa hapo ni GDP per capita
 
kenya should be higher but thanks to corruption and tribalism we are lagging behind many countries that we should be ahead of them
 
kenya should be higher but thanks to corruption and tribalism we are lagging behind many countries that we should be ahead of them

Na kelele zenu na ujivuni kumbe Kenya Per Capita yenu haiko hata top 15?
 
Na kelele zenu na ujivuni kumbe Kenya Per Capita yenu haiko hata top 15?

question is why is Tanzania's per capita income behind Kenya's??? despite all the minerals Tanzania has????
 
question is why is Tanzania's per capita income behind Kenya's??? despite all the minerals Tanzania has????

Kwani madini ya bling bling yana maana sana?.....ni mafuta ndiyo yanayoifanya nchi kuwa tajiri
 
question is why is Tanzania's per capita income behind Kenya's??? despite all the minerals Tanzania has????

This forum is for wabongoz and not for the nyang'aus. Go take care of your trabalism scourge!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…