Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,386
- 2,833
A35 5G nipo hapa naisubiri kwa hamuWatumiaji wa Galaxy, jiandaeni!
Samsung inaendelea na mpango wa kuleta Android 17 kupitia One UI 9, na simu nyingi za Galaxy zitaingia kwenye orodha ya kupata mfumo huu mpya. 🤯
Kama unatumia Galaxy, hizi ni baadhi ya simu zinazotarajiwa kupata Android 17, kwa mpangilio wa awamu:
MEI–JUNI 2026
Galaxy S26 Series — Beta ya One UI 9 tayari ilianza.
AGOSTI 2026
📱 Galaxy S25 Series
📱 S25+, S25 Ultra, S25 Edge
📱 S25 FE.
SEPTEMBA–OKTOBA 2026
📱 Galaxy S24 Series
📱 S24+, S24 Ultra
📱 S24 FE
MWISHO WA 2026
📱 Galaxy S23 Series
📱 S23+, S23 Ultra
📱 S23 FE Pamoja na
GALAXY A SERIES
📱 A57, A56, A55, A54 😍
📱 A37 / A36 / A35 / A34
📱 A27 / A26 / A25 / A24
📱 A18 / A17 / A16 / A15 na baadhi ya A-series mpya.
Ebu tuambie umeshapata Android 17 kwenye simu yako ya Samsung au lah ??
Itakua Bado, yangu a35 lakini Bado sijaonaA16 vipi mbona hatuoni update
Mm yangu s23 ultrq haijawahipokupokea update. Tatizo linawezakuwa nini?Watumiaji wa Galaxy, jiandaeni!
Samsung inaendelea na mpango wa kuleta Android 17 kupitia One UI 9, na simu nyingi za Galaxy zitaingia kwenye orodha ya kupata mfumo huu mpya. 🤯
Kama unatumia Galaxy, hizi ni baadhi ya simu zinazotarajiwa kupata Android 17, kwa mpangilio wa awamu:
MEI–JUNI 2026
Galaxy S26 Series — Beta ya One UI 9 tayari ilianza.
AGOSTI 2026
📱 Galaxy S25 Series
📱 S25+, S25 Ultra, S25 Edge
📱 S25 FE.
SEPTEMBA–OKTOBA 2026
📱 Galaxy S24 Series
📱 S24+, S24 Ultra
📱 S24 FE
MWISHO WA 2026
📱 Galaxy S23 Series
📱 S23+, S23 Ultra
📱 S23 FE Pamoja na
GALAXY A SERIES
📱 A57, A56, A55, A54 😍
📱 A37 / A36 / A35 / A34
📱 A27 / A26 / A25 / A24
📱 A18 / A17 / A16 / A15 na baadhi ya A-series mpya.
Ebu tuambie umeshapata Android 17 kwenye simu yako ya Samsung au lah ??
A05 imeishia android 15 Mkuu!Kwahyo A05 ndio bye bye nabaki 16
Chombo kutoka Dubai.Mm yangu s23 ultrq haijawahipokupokea update. Tatizo linawezakuwa nini?