List ya short course za IT zinazolipa

Graphic design it's the best na web dev sio sana ila na pia software engineering ndo course inayolipa sana
Pia ivi kuna diploma ya computer science bcz I'm not sure??😳
Diploma ya computer science ipo IFM, ATC, MUST,UDSM pale coict karibu na majengo ya UCC na zingne but Computer eng ipo DIT, MUST, St. Joseph
 
IT kama unajua code vzur kabisa pesa utapga sana ila kama utaishia kutengeneza tu pc na kufanya graphics kdg lazma utaiona ni course ya kikuda.
Hao wanaokukatisha tamaa ndio wana smartphone na humu jf hawajui kuwa ni matokeo ya IT na pesa anazopata melo hawajui kabisa na kwa sasa dunia imegekia technology kama unajua vizur programming zama online utakula dollar mpaka bac
 
Hv melo anapataje hela kutoka JF?? Mana sjawah kutana na Ads humu. Au zile MB tunazotumia humu JF ndo anapewa percentage kadhaa?
 
Huko kujua code unapataje pesa?
 
Graphic and design (Motion graphics)
Google Certification courses
App development
web development au Wordpress kama unataka kutengeneza website bila code na kwa muda mfupi
 
Hv melo anapataje hela kutoka JF?? Mana sjawah kutana na Ads humu. Au zile MB tunazotumia humu JF ndo anapewa percentage kadhaa?
Unatumia Freebasics utaonaje Ads🀣
 
JF mbona ina matangazo tena mpaka za adsense sema hawaweki kama blogger wengne au kama issa michuzi anavyochafua website kwa matangazo alaf kuna kitu kinaitwa sponsored threads
 
Wanakutisha mkuu, mimi nina diploma ya computer science napiga pesa kuliko daktari mwenye PHD.
Soma coding hasa Java ni tamu sanaa uanze kutengeneza android application pia usiache computer maintenance.
Haya huwa ni maneno ya kujifariji tu , hiyo pesa unapiga kutoka wapi ndugu yangu acheni kudanganya watu.
 
Haya huwa ni maneno ya kujifariji tu , hiyo pesa unapiga kutoka wapi ndugu yangu acheni kudanganya watu.
WaTZ weng wa online huwa ni wachoyo kuweka tricks waz ila kiuhalisia weng hasa tech gurus waliojikita online weng huwa wanapiga sana pesa but ukitegemea uajiriwe ndio uje uone faida ya programming utajuta coz ajira nying ni za wahindi tu.
Tatizo letu online ishu nying tumezichukulia kama utapeli na ndio hapo tulipopigiwa gap na ndugu zetu wa Nigeria, Kenya na south africa.
Kipind bitcoin ilikuwa $100 weng tulichukulia poa nikiwemo na mm japo nilitaka kununua nikaghair but now imefika $30k++ unadhan kwa walionunua ata 3 tu leo wako level gani?
Kuna makampuni ya tech meng sana yanafanya development ya project ikiwemo na hii ya bitcoin kama ww unajua kuprogram Blockchain Technology ukiniambia huna hela nitakuona mdwanz tena kolo kabisa.

Wengi wanaongea kwasababu mwisho wa matumiz yao ya internet ni kuingia whatsapp, fb, insta, tiktok, jf,youtube na millardayo. But kwa wanaojua upana wa technology na uhitaji wa deep programmers uwez ata ukasema programmer ana life ngumu ila kama hujui kutafuta fursa utabaki na code zako.
Mimi mwenyew nilikimbiaga coding chuo but imenigharimu sana na nimetumia gharama kubwa sana kjjifunza tena coding baada ya kuingia kitaa na kukuta ni cha muhimu kuliko ata network, au graphics
 
Dar-es-salaam Institute of Technology - Mwanza Campus
ICT Short Courses! 🌐

Choose from a variety of courses, including:
1. Computer Applications(PC fundamentals, Ms Word, Ms excel, Ms publisher, Ms PowerPoint, Ms access & Internet Applications)
2. Computer Maintenance & Repair
3. Web development using CSS and Html
4. Website Design using PHP & MYSQL
5. Graphics Design using Adobe Photoshop and Illustrator
6. Basic Computer Networking
7. Printer Maintenance and Repair
8. Basic Computer Programming C/C++
9.Motion Graphics and Visual Effects

πŸ“š Learn from industry experts, gain practical knowledge, and boost your career in the fast-paced world of Information and Communication Technology. 🌟

Don't miss out – enroll today and become an ICT pro! πŸ’»πŸŽ“
Contacts: 0713340212
0629153727
 
ninavyojua mimi soko la Tech ni pana mnoo ni namna tu tunashindwaa ku apply tu mfano fernandez mbaka anaanzisha company yake ya Nala ni products ya IT na software dev sema ni ya havard sasa uwez linganisha na IT ya hapo TIAπŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…