Teh teh teh
Bila ya shaka uko single yuclighty?.Teh teh teh
Hapana mkuuBila ya shaka uko single yuclighty?.
bamdogo nimemwekea espy siti yake kama huyu mleta mada anagawa hela haiwezekani aite watu kwa mkwara hivi
Haha haya mtanipa mrejesho kipi kimeendelea maana sio kwa kuwahi huko sasabamdogo nimemwekea espy siti yake kama huyu mleta mada anagawa hela haiwezekani aite watu kwa mkwara hivi
Unaweza kuta huyu ni graduate!!!!Nyie [emoji4]
Nahitaji kuwajua wasichana wote mlokuwa "single" humu Jf
Kama upo single, comment kwenye huu uzi.
Kuna Project kubwa inakuja humu. Sawa???..
Sasa wew ole wako uwe single alaf hutak kuweka wazi, tusije kulaumiana huko mbele ya safari
NB; na hzo PM zenu mziweke ziwe wazi..