List ya transfer za degree mbali mbali

Jamani Mimi jina langu kwenye list ya transfer halipo lakini nimeliona chuo nnachotaka kuhamia moja kwa moja msaada nifanyeje?
 
ety kuna majina mengine yatatoka badae?? au kama sijaona jina langu ndo nijue nimekosa totally??
 
Samahan sana mwenye uwezo naomba anichek S0141/0017/2010

MROPE ,JACKSON M
S0141/0017/2010
MK007
Bachelor of Education M Tumaini University Makumira
DM050
Bachelor of Education in Psychology University of Dodoma
 
Mkuu habar mm naulza tu et haya majina waliotoa mbona hayaendan na slots walizokuwa wameweka? na je walitumia vigezo gan kufanya transfer mtusaidie wakuu mana tupo njiapanda af wanadai majina mengne wanaongeza sa10 jion hapo cjaelewa inakuaje?
 
Wanajukwaa naomba kuulza iv n mfumo gan ambao umetumika kutoa majna ya transfer na je? Hyo sa10 jion wanaongeza watu au n koz mpya zinaongezwa?
 
Tunaendelea kutoa huduma ya kuangalizia majina kwa wale wanaohitaji cal-0768248512 tutakujibu ndani ya dk1 asanteni sana
 
Weka yote tukeshe tu kwan engine tupo mbal na huduma za haraka na simu zetu hazna uwezo wa kufungua hiyo link
 
naomba nijibu ety kuna majina mengine yatakayotoka sakumi?? nipo njiapanda jmni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…